Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,113
- 136,818
Nini Manyoni, hapo hapo Dar-es-Salaam. Nimekazania hilo swali la kwanza la name a country whose first letter starts with U, How many Tanzanians will remember that the official name for our country is the United Republic of Tanzania? Na ukisema kwa kiswahili nchi yetu inaanza na J as in Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa mtu ukiwa umekaa mahali unafikira vitu vingine halafu ghafla mtu anakuuliza kuwa nitajie nchi ambayo herufi yake ya kwanza ni J kwa kiswahili, nani atakumbuka kuwa Tanzania inaanzia na J?
Haya tuje kwenye majina ya currency, watanzania wangapi wa kawaida ( ambao huwa hawasfiri kama shangazi zetu, mama zetu na watu wengine wengi wanaokaa nje ya Dar wanajua hela ya Zimbabwe ni nini? how about Swaziland, Lesoto, Namibia Zambia na Malawi? Najua wengi humu mnazijua kwa sababu ya usomi wenu, na kusafiri lakini Watanzania wengi hawajui labda wanaoishi mipakani.
Ewaaaa....wewe ndio unaelewa mambo na hujaleta ushabiki.