Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,600
Kwani lazima afanye kazi? Mwambieni aache kazi
Akiacha utamtunza yeye na familia yake?
Kwani lazima afanye kazi? Mwambieni aache kazi
Wewe kwa chuki zako ndo maana ulitumbuliwa mapema tu.
Mwache rais apambane kuweka uchumi wa hii nchi vyema, hata siku mishahara ikipandishwa thamani yake ionekane.
Bila kudhibiti mifumuko ya bei kwa bidhaa, mshahara hata upande bado mzigo utakuwa mkubwa tu kwa watumishi.
WAVUMILIE KIDOGO TU MAMBO YATAKUWA MSWANO.
Ndo wajiongeze wafanye na shughur nyingine,Kuna sst angu n mwalm wa primary ana ki biashara cha kukopesha na kuuza vitenge, hategemei mshahara na mambo yake yanaenda poa, tatizo Watz uvivu mwingii, angalia mfano nchi Kama China, mtu kaajiliwa sehem 2, au kaajiliwa sehem but kajiajil, ukifika hm saa 11, one hour unaweza fanya kitu ukapata pesa ya kula, weekends, sasa Kama unapenda fuatilia movie na tamthilia YOU WILL DIE POOR
Wanyonge kwaunyonge waoWanyongeeee
Poleni kwa hii shubiri manayoinywa wafanyakazi hasa wa serikalini.
Bado minne tu, asipoongeza muda madarakani.!
Changamoto hzoo ndo elim itumike kuzitatua, hakuna kitu kisichokuwa na changamoto, hata hiyo mishahara kutoongenzeka ndo changamoto ya waajiriwa wa tz at this moment, sasa tofaut itakuja jins ya kutatua, Kuna wanaoishia kulaumu wengine wanatafuta majawabuUnafikiri kila anayefanya biashara nje ya kazi anafanikiwa changamoto zipo kibao,usione watu kuwa ni wazembe,pia kupandishwa madaraja si hisani ni kwa mujibu wa sheria.Kikubwa jifunze kuandika kwanza wewe bado mdogo kua uyaone na siyo maghorofa.
Mkuu watawekeza vp wakati wakipatacho mwisho wa mwezi unamuwezesha kuishi kwa siku kumi tu?? 90% ya Watumishi hakuna asiye na mikopo kuanzia Mitaani Mabenki na hata kwenye sacos zao. Hata kuwa hewani unaweza kuta kakopa kifurushi cha Wiki ili aweza kuingia humu na pia kuweza kuingia WhatsApp kwajili ya magroup mbalimbali.Na kusifiwa kwamba alikuwa mchapakazi hodari.
Huu uzi unanifanya nijutie uzembe wangu wa kuwekeza tangu naanza kazi kiasi kwamba siku hizi ningekuwa namiliki uchumi mkubwa badala ya kumtegemea Baba Jesca.
Mnaoanza kazi siku hizi jipangeni kuwekeza badala ya kusubiri mwisho wa mwezi
Mfumuko upi?? Alipoingia Madarakani 2015 mafuta ya kupikia/kula lita moja ilikuwa kiasi gani na sasa hivi ikoje??? Huo ni mfano mdogo tu.Wewe kwa chuki zako ndo maana ulitumbuliwa mapema tu.
Mwache rais apambane kuweka uchumi wa hii nchi vyema, hata siku mishahara ikipandishwa thamani yake ionekane.
Bila kudhibiti mifumuko ya bei kwa bidhaa, mshahara hata upande bado mzigo utakuwa mkubwa tu kwa watumishi.
WAVUMILIE KIDOGO TU MAMBO YATAKUWA MSWANO.
Mnafiki mkubwa wewe.Vitu vinapanda bei kila kukicha alafu unasema hii hela ina thamani! Kama unanufaika na huu utawala kaa kimya na si kuongea ujinga humu.Mbinafsi mkubwa wewe!Mkuu hapa naona umeweka ubaguzi. mfanyakazi ni mfanyakazi bila kujali yupo serikalini au kampuni binafsi.
kwa ufahamu wangu mdogo,mliopo serikalini hasa hasa mamlaka(EWURA,PURA,LATRA,TRA,TCRA n.k) nao wamekutuma uombe msamaha?
Umechunguza wafanyakazi waliopo makampuni ya wahindi na wachina wanalipwaje ukilinganisha na mliopo serikalini ?
kwa ufupi sisi tuliopo makampuni binafsi tunawaonea wivu,sema tu nafasi za kuajiriwa serikalini ni kidogo tunalazimika kwenda makampuni binafsi. Suala la mfanya kazi kuwa na TIN nampongeza rais maana hata tulipokuwa hatuna TIN tulilipa pay as you earn wakati mamalaka hazikutambui kama mlipa kodi,utaratibu uliopo kwa sasa ni mzuri maana hata mimi natambulika kama mlipa kodi.
Ukienda dukani kkoo kwa kiasi fulani thamani ya fedha yako ndogo unaiona,ikilinganishwa na zamani ambapo fedha ndogo ya mshahara ilipambanishwa na fedha ya vigogo waliopiga mabilioni ya fedha na kwenda shopping ambapo wafanya biashara waliuza kwa faida zaidi ya mara mbili. Ni kweli kwa sasa mishahara haijaongezeka lakini kitu kinaitwa value for money kinaonekana.
Si ndo ambao walikua wanatufundisha "entaprinyuashipu" chuoni hawa....Mwambie yaache kazi KBS
Akajiajiri
Uprofesa anashindwa kubuni njia mbadala ya kutoka kimaisha.
Si ndo nyie mnasema vijana mjiajiri? Au mnamaanishaga ajira ni za wazee?
Hii hapa ndiyo nzuri zaidi.Imeandikwa na Faraja Kristomus, mwandishi anafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na anapatikana kwa simu ya mkononi 0787525396
Mistari miwili yenye maneno mazito kweli kweli, kiasi kwamba huyo uliyemjibu hataweza kuelewa ulichoandika!Umembembeleza kwa sababu mhusika anapenda watu wanyonge kama wewe,elimu yako umeitupa kule sababu ya mtu mmoja,mawazo yako umeyatupa kule sababu ya mtu mmoja,umri wako umeutupa kule sababu ya mtu mmoja,heshima yako umeitupa kule sababu ya mtu mmoja,huo ni utumwa.
Huu utopolo .....,..kwamba lengo la kuajiriwa ni ili kukiwa na mapungufu usiyaseme bali ujiondoe? Kwa mantiki yako, hata kwenye ndoa, mmoja wa wanandoa asiporidhika aachoe ngazi street wako wadada na wakaka wengi watachukua nafasi,......eeee! Kanisani nako kama huridhiki na kiongozi nenda kwa gwajima na kesho gwajima akikuchosha nenda kwa mzee wa upako khaaaaa!Hii nchi inavijana wengi wasomi wamezagaa mitaani, kama kunamfanyakazi anaona hatendewi haki, mara moja na haraka sana
bila shuruti aache kazi, ili kusudi waingie vijana wasomi na wachapakazi walokosa ajira, rizikeni na jiongezeni na mnachokipata.
Unayahurumia ya nini hayo? Wacha mzee ayakomeshe, nyoko kabisa haya!Wafanyakazi wa Tanzania wana tofauti gani na watumwa tuliowasoma kwenye vitabu vya historia ?