Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Hii nchi ina vituko sana!
Huko Tanga wheel loader ama kijiko kwa lugha maarufu kimekwama kupakia maroli ya kubeba shehena ya material ya kutengenezea cement yaani clinker kwa ubovu wa kuvuta miss.
Hali hiyo imesababisha makumi ya maroli kukwama kubeba shehena hiyo kwa sababu hilo la mashine iliyotokea saa sita mchana na hadi wakati huu mafundi wa bandari tajwa wameshaondoka kwenda kwao kwa kisingizio cha muda wa kazi kumalizika hadi hapo kesho.
IFAHAMIKE BANDARI KUBWA YA TANGA INAYO MASHINE WHEEL LOADER MOJA PEKEE!
Maoni yangu;
Kwa hali hii ni vigumu nchi hii kuyafikia maendeleo ya kweli kwa uzembe wa kijinga kama huo.