Received with thanks,
Nakubaliana na wewe mkuu Kiongozi makini hakurupuki katika kufanya maamuzi.
Gamba hiloooo! Huna tofauti na mgonjwa aliye ICU.
Received with thanks,
Nakubaliana na wewe mkuu Kiongozi makini hakurupuki katika kufanya maamuzi.
Hotuba iliyotolewa na Mh M.Pinda Waziri mkuu wa Tanzania inatufundisha Watanzania tuwe na mioyo ya kuvumiliana na kustahimiliana katika kuelekea katika maamuzi magumu kwa mustakabali wa amani na utulivu wa taifa letu.
Kwa Watanzania wapenda amani hutuba ya Pinda ya kuhairisha bunge ni hutuba ya kishujaa na ya kizalendo.
Shujaa anayedharauliwa?
Skendo ya Jairo ilimdhalilisha sana, na bado JK na Ikulu kwa kiburi walicho nacho wamegoma kutekeleza maazimio ya Bunge na ndo maana Spika wa Bunge alijua kwamba swala hilo lingejadiliwa lingewapandisha hasira wabunge.
Serikali yenu sio ya kubembelezana, ukiwabembeleza hakuna watakachotekeleza, na ndio maana mawaziri wanajibu mbovu na kujifanyia wanayotaka.
Wakati wa skendo ya Jairo, alisikika akisema kwamba hata wachonge sana hatatoka, na mpaka leo kweli bado yuko na hakuna walichomfanya.
Mbaya zaidi IKULU kupitia Luhanjo ikamsafisha na kumrudisha kwa mbwembwe na kupokelewa akisukumwa kwenye gari. Hayo kama sio matusi kwa Waziri Mkuu ni nini? Pinda alitutangazia watanzania kwamba kama angekuwa yeye ndo mwenye final say, angemfuta kazi Jairo. Juzi amekaa kwenye kikao mpaka usiku, wakakubaliana kwamba mawaziri 8 waondoke, nini kimetokea? Huyo ndo shujaaa? Angekuwa shujaa kweli angesema anajiuzulu, hapo ningemuona ni shujaa anayelinda heshima yake baada ya kudhalilishwa mara 2 tena mbele ya watanzania wote. Kwa kuwa kilichotokea sio kwamba ni vikao vya siri, bali ni maamuzi ya wazi yaliyotangazwa.
He is the weakest PM ambaye hajapata kutokea hapa Tanzania. JK anambuluza apendavyo na bado yuko tu amekomaa na u-PM! Halafu unakuja kusema eti ni shujaa!
Hotuba iliyotolewa na Mh M.Pinda Waziri mkuu wa Tanzania inatufundisha Watanzania tuwe na mioyo ya kuvumiliana na kustahimiliana katika kuelekea katika maamuzi magumu kwa mustakabali wa amani na utulivu wa taifa letu.
Kwa Watanzania wapenda amani hutuba ya Pinda ya kuhairisha bunge ni hutuba ya kishujaa na ya kizalendo.
Mkituanikia tutaisoma tuielewe, ama sivyo ni porojo kama za PindaReceived with thanks,
Nakubaliana na wewe mkuu Kiongozi makini hakurupuki katika kufanya maamuzi.
Hotuba iliyotolewa na Mh M.Pinda Waziri mkuu wa Tanzania inatufundisha Watanzania tuwe na mioyo ya kuvumiliana na kustahimiliana katika kuelekea katika maamuzi magumu kwa mustakabali wa amani na utulivu wa taifa letu.
Kwa Watanzania wapenda amani hutuba ya Pinda ya kuhairisha bunge ni hutuba ya kishujaa na ya kizalendo.
Natangaza rasmi kutokusoma thread za mr emmy, tume ya katiba na wengine kwani zinafanya uwezo wa kuchambua mambo ushuke. Hata post nitakuwa naziruka.
kwa hiyo huo utumbo uloandika unaona umefikiri,!hotuba yake ya kipuuzi ya jana haiwezi kupongezwa na tahaira yoyote isipokuwa mwenyewe & u!Wewe ni kama kipofu aliyeona Punda. Unaona kuwa kila kitu ni JF tu.
Pinda ana mambo ya kumpindisha zaidi ya JF.
Fikiri!