Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,293
nyie MA CCM bila uasherati NAPE asingezaliwa
hahaha
nyie MA CCM bila uasherati NAPE asingezaliwa
Kwa Baba riz Ana wake wangap?? Ulishawah kuuliza kuhusu Hilo?? Je riz na Yule alooa majuz n watoto wa mama salma?? Hebu tuongeleen mambo ya msing yanayogusa maisha yetu ya kila siku kwa maslah ya watz weng
Wewe ni nani unayefuatilia mambo binafsi ya mh mbowe? Tuambie ya kwako kwanza naye atakujuza kilichojiri.
wadau!!
Naoamba nielekeze hoja hii kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani mh mbowe na joyce mukya mbunge wa viti maalumu chadema
Ni muda sasa umepita tumesikia mengi kuhusu uhusiano siri
wa kimpaenzi unaendelea kati ya mh mbowe na joyce mukya.Lakin si mh mbowe wala joyce mukya aliyewahi kutoka hadharani kukanusha taarifa hii..
Ni wazi kuwa wote wamebaki kimya,hakuna anayetaka wala kusubutu kulitoka nadharani kuujulisha uma wa watanzania juu ya jambo hili,ikumbukwe kwamba ni hv majuz tu mh mbowe alituhumiwa kumbadilishia mh mukya safar mpaka kufikia hatua ya mh mbowe kumwandia spika barua ya kumwomba ambadikishie mh mukya safari ili aungane naye dubai kula raha.
Ni wazi kabs kwamba haya ni maisha binafsi ya mh mbowe ila akiwa kama kiongozi anayepaswa kuwa kioo cha jamii alipaswa kuweka mambo yake ya uhusiano hadharani
Ni majuzi tu kuna uzi uliletwa humu jamvin na msemaji wachadema kuwa mh mbowe na lilian mbowe walishaachana kitambo,lakin mleta uzi hakufafanuwa kiundani kwann ilifikia hatua hyo yakuachana,swali la kujiuliza kama kweli mh mbowe ameachana na lilian kwann bas asiweke mambo hadharani kuwa mukya sasa ndiye mke wake?kwa upande mwingne au bas niwaz kuwa anamuogopa mzee mtei baba yake na liliani kwamba endapo ataweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi atatimuliwa kwenye chama?je mh mbowe haoni kuna haja yeye kama kiongooz kuwa na mwnamke mmoja kama mke ili jamii ijifunze kutoka kwake??????au bas tuamini kuwa yawezekana naye joyce mukya ni mke wa mtu????
viongoz vyama hawaruhusiwa kuwa na mambo yao binafs?hebu tuelezee ya wale walioibiwa magobore na laptop kule morogoro
Itakuwa biashara yake 99% ya ubongo wake unawaza Ngono alafu unategemea fikra pevuDaaah, mkuu hii na-click "LIKE". Sijui jamaa kawaza nini kuja na ishu ya mapenzi alfajiri!
kAMA DUSHELELE LAKO HALIFANYI KAZI ACHA ZINAZOFANYA KAZI ZIFANYE NAHISI WE NI SHOGA NA HUYO MLETA MADA.KAPUYA ALIFANYAJE NAE HAU HUJUI KUKU WEMbowe anapaswa aombe radhi jamii kwani hii ni aibu kutumia kodi za wananchi kwa mambo ya ngono hii ni aibu kwa Mbowe na Chadema.
Ukubwa wa Bichwa sio wingi wa Makamasi teh teh teh..hv kumbe mnajuwa ccm ni chama kubwa,kumbe huwa ni mnajitoaga tu akili
Hahahaaaa tena anapita bila kupingwa..Mzinzi na 1 tz ni ..... kila mtu anajua
Kwa Baba riz Ana wake wangap?? Ulishawah kuuliza kuhusu Hilo?? Je riz na Yule alooa majuz n watoto wa mama salma?? Hebu tuongeleen mambo ya msing yanayogusa maisha yetu ya kila siku kwa maslah ya watz weng.....tunaish na watoto weng sana wa vbosile Je tuje hapa na kuanza kutaja majina Yao?? Ili itusaidie nn wakat tuna matatizo chungu nzima ambayo yanaitaji kutatuliwa??
Kama nia yako ni kuvunja ndoa ya Mbowe. utashindana lkn hutashinda
Ishu ni kwamba tunataka uwazi na ukweli,ya baba miraji yanajulikana na yapo wazi ndo maana hayaojiwi,Sasa mbowe na yeye aweke wazi sio kuficha ficha mambo.kusema eti haituhusu sio kweli sbb mbowe ni kiongozi mkubwa,au anamuogoba mzee mtei? Kama ni kweli anamuogoba bac chadema ni saccos ya mtei na wanahisa ni wakaskazini,wana cdm acheni mahaba.Kama mbwai, mbwai tu
mke mdogo wa Vasco da Gama!!!mbona inajulikana.Nakumbuka pia wakati nyerere anatafuta uhuru mikoa mingi kulikuwa na kina mama kazi yao kumficha Nyerere majumbani kwao wakati wa mapambano ya kudai uhuruNi mwaka wa nne sasa hatujapata ufafanuzi wa huyu mama na magogoni!