hata kama ungekuwa na mshahara huu usingepata hata mia.. huu ni wa div 5Umbea nao kazi sema hauna mshahara tu.........
hata kama ungekuwa na mshahara huu usingepata hata mia.. huu ni wa div 5
Nimetonywa na mmoja wa Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano kuwa , Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. FREEMAN MBOWE ameuandikia barua uongozi wa Bunge akiuomba kumtumia tiketi ya Ndege mzazi mwenzake (JOYCE MUKYA) arudi nyumbani kutoka DUBAI alikokwenda kwa ziara ya Kikazi. Habari za uhakika kutoka kwa mtonyaji huyo zinasema KUB huyo amekasirishwa sana na kitendo cha Uongozi wa Bunge kumruhusu huyo Kimwana wake aende hiyo safari huku ukijua wazi kuwa Katika safari hiyo yupo pia mbunge wa SUMBAWANGA MJINI, MHE. HILAL AESHI ambaye hapana shaka kwamba naye ana mahusiano ya kimapenzi na JOYCE MUKYA.
Hata hivyo inasemekana kuwa Uongozi wa Bunge umepuuzia maombi ya MBOWE kwa vile unaamini kuwa Waheshimiwa Wabunge hao wamekwenda DUBAI kikazi zaidi na siyo kimapenzi.

Lumumba product zinafika mpak huku?
Mkuu samahani kuna sehemu nlikukot kwa makosa niwie radhiah... ungekuwa na shigongo ungeuza sana!
Fikira zingine sijui watu wanaona wakileta hapa wanafaidika na nini!
Ila Mi nadhani ni wale wale misukule wa group fulani wanawanga tu!