T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Nimetonywa na mmoja wa Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano kuwa , Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. FREEMAN MBOWE ameuandikia barua uongozi wa Bunge akiuomba kumtumia tiketi ya Ndege mzazi mwenzake (JOYCE MUKYA) arudi nyumbani kutoka DUBAI alikokwenda kwa ziara ya Kikazi.
Habari za uhakika kutoka kwa mtonyaji huyo zinasema KUB huyo amekasirishwa sana na kitendo cha Uongozi wa Bunge kumruhusu huyo Kimwana wake aende hiyo safari huku ukijua wazi kuwa Katika safari hiyo yupo pia mbunge wa SUMBAWANGA MJINI, MHE. HILAL AESHI ambaye hapana shaka kwamba naye ana mahusiano ya kimapenzi na JOYCE MUKYA.
Hata hivyo inasemekana kuwa Uongozi wa Bunge umepuuzia maombi ya MBOWE kwa vile unaamini kuwa Waheshimiwa Wabunge hao wamekwenda DUBAI kikazi zaidi na siyo kimapenzi.