Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hilal Aeshi katika vita ya kimapenzi wakimgombania Mhe. Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Nimetonywa na mmoja wa Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano kuwa , Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. FREEMAN MBOWE ameuandikia barua uongozi wa Bunge akiuomba kumtumia tiketi ya Ndege mzazi mwenzake (JOYCE MUKYA) arudi nyumbani kutoka DUBAI alikokwenda kwa ziara ya Kikazi. Habari za uhakika kutoka kwa mtonyaji huyo zinasema KUB huyo amekasirishwa sana na kitendo cha Uongozi wa Bunge kumruhusu huyo Kimwana wake aende hiyo safari huku ukijua wazi kuwa Katika safari hiyo

pia mbunge wa SUMBAWANGA MJINI, MHE. HILAL AESHI ambaye hapana shaka kwamba naye ana mahusiano ya
kimapenzi na JOYCE MUKYA.

Hata hivyo inasemekana kuwa Uongozi wa Bunge umepuuzia maombi ya MBOWE

kwa vile unaamini kuwa Waheshimiwa Wabunge hao wamekwenda DUBAI kikazi zaidi na siyo kimapenzi.

Mtu akitaka kusema basi kwanza hutizama yake, Hakurupuki kusambaza ya wenzake....
 
Sisi tuko huku ku relax wewe unatuletea siasa zako,kwani hujui pa kupeleka?ny..o zako.
 
Mhhhhhhhh6hhhh
Nimetonywa na mmoja wa Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano kuwa , Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. FREEMAN MBOWE ameuandikia barua uongozi wa Bunge akiuomba kumtumia tiketi ya Ndege mzazi mwenzake (JOYCE MUKYA) arudi nyumbani kutoka DUBAI alikokwenda kwa ziara ya Kikazi. Habari za uhakika kutoka kwa mtonyaji huyo zinasema KUB huyo amekasirishwa sana na kitendo cha Uongozi wa Bunge kumruhusu huyo Kimwana wake aende hiyo safari huku ukijua wazi kuwa Katika safari hiyo yupo pia mbunge wa SUMBAWANGA MJINI, MHE. HILAL AESHI ambaye hapana shaka kwamba naye ana mahusiano ya kimapenzi na JOYCE MUKYA.

Hata hivyo inasemekana kuwa Uongozi wa Bunge umepuuzia maombi ya MBOWE kwa vile unaamini kuwa Waheshimiwa Wabunge hao wamekwenda DUBAI kikazi zaidi na siyo kimapenzi.
 
Wivu unapelekea mpaka watu kuhujumu Serikali, hiyo ndiyo chadema.
 
Jamaa ni mchepukaji mzuri tu
 
Mda Tunadiscus nani Anafanyana na Nani ? Ndio mda huhuo huo Kule Nyamango wazunguzu wanaendelea kupakiza Vipande Vya dhahabu.
 
Mbowe anaonekana anapenda sana wadada anaitia sana kashfa familia yake kweli uongozi bila hekima ni kazi bure
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom