Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hilal Aeshi katika vita ya kimapenzi wakimgombania Mhe. Joyce Mukya

Status
Not open for further replies.
Nimetonywa na mmoja wa Wabunge wa bunge la jamhuri ya Muungano kuwa , Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. FREEMAN MBOWE ameuandikia barua uongozi wa Bunge akiuomba kumtumia tiketi ya Ndege mzazi mwenzake (JOYCE MUKYA) arudi nyumbani kutoka DUBAI alikokwenda kwa ziara ya Kikazi.

Habari za uhakika kutoka kwa mtonyaji huyo zinasema KUB huyo amekasirishwa sana na kitendo cha Uongozi wa Bunge kumruhusu huyo Kimwana wake aende hiyo safari huku ukijua wazi kuwa Katika safari hiyo yupo pia mbunge wa SUMBAWANGA MJINI, MHE. HILAL AESHI ambaye hapana shaka kwamba naye ana mahusiano ya kimapenzi na JOYCE MUKYA.


Hata hivyo inasemekana kuwa Uongozi wa Bunge umepuuzia maombi ya MBOWE kwa vile unaamini kuwa Waheshimiwa Wabunge hao wamekwenda DUBAI kikazi zaidi na siyo kimapenzi.
mambo ya ndani au binafsi siyo ya kuweka wasi tafuta kingine cha kumuharibia Mbowe na siyo kwenye mahusiano
 
ccm bhana ..ha ha ha ha ha yakwao wanafanya kama hawayaoni ...mtu wenu mpk mwanaye alijinyonga baada ya kubakwa na baba yake ...kwenu hiyo wala sio dhambi ...daah
 
Dada zang ambao hamjaolewa ,kama unaelim kiwango cha PHD ukajipeleka kwa Form six failure kuna possibility kubwa kupatwa kama yanayoendelea kumpata Lilian
 
Vipi mmechoka na matamko ya kijinga mmekuja na njia hii kiseneee...CHADEMA habari nyingine baada ya hii utuletee habari za kumhusu mama yako....
Crash Wise UMEKWENDA MBALI SANA....Mama yetu amehusikaje hapa...!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom