Mhariri Tanzania Daima ashikiliwa na Polisi!

Afisa Mwandamizi ndani ya CHADEMA ambaye yuko hapa sebuleni hata hivi sasa ANAJUA KI-UNDANI ZAIDI juu ya kitu gani kinachoendelea ndani, miongoni mwao na zaidi dhidi ya media houses ndani ya nchi hii.
 
Waacheni wahangaike na magazeti wakidhani tatizo ni vyombo vya habari. CHADEMA hainezwi na vya habari, CHADEMA inaenezwa na "word of mouth", labada wawafunge midomo Watanzania wote kwa makufuli wasiongee!

Mbona redio Imani hawaifungii na yule Shehe Ilunga wananuachia tu anaongea bila kumchukulia hatua zozote?
 
Waacheni wahangaike na magazeti wakidhani tatizo ni vyombo vya habari. CHADEMA hainezwi na vya habari, CHADEMA inaenezwa na "word of mouth", labada wawafunge midomo Watanzania wote kwa makufuli wasiongee!

hata wakipiga makufuli midomo ya watu body language bado itaongea na hawataweza kufungia
 
What about that mocking Radio from Morogoro, Radio IMAN? Is it still airing its www.blahblah.com?
My poor motherland!! My fatherland is could not tolerate such a radio like that...never on earth.

Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.

Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo ingawa amehojiwa kutokana na habari anazozihariri.

Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi gazeti linaloandamwa kwa sasa ni Tanzania Daima.Inadaiwa serikali haifurahishwi na habari mbalimbali zinazotolewa na gazeti hilo hasa taarifa zinazoonekana kukitangaza na kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
 
Kama swala ni habar za kuimarisha chama nadhan ataefuata sasa ni mkurugenz wa TBC
 
Huyu mwandishi ni KANJANJA na anayo njaa kali mara nyingi habari zake ziko biased hasa hile habari ya mgogoro wa MEYA wa Bukoba na KAGASHEKI chumvi ilizidi.

Hana sifa za uhandishi na ili liwe funzo.
 
Hivi mbona sijaona zile habari za kutisha tunazoziskia mitaani na ni za kweli kwenye hilo gazeti???KIUKWELI HATA LENYEWE LINA STAHA,BADO LAWASITIRI.Labda kama kinachowauma ni habari za mafanikio ya CHADEMA.
 
Hayo ndo matakwa ya watawala dhaifu wasiojiamini kazi yao ni kukimbilia kuwaziba midomo wanaowakosoa. Lakini wakae wakijua watanzania wa leo walishachoka.
 
Serikali haifarahishwi na yanayoandikwa kwenye Tanzania Daima, lakiki wanafurahishwa na yanayotangwa na radio Imaan? Au serikali inafurahishwa na mahubiri ya sheikh Ilunga?

Ni vigezo gani vilivyotumika kupima Tanzania Daima lakini vikaacha radio imaan au sheikh Ilunga na DVD zake?

Waziri wa habari anaweza kuwaambia watanzania serikali inaridhishwa na radio Imaan?
Pigania gazeti lako ilunga redio imani havikuhusu shirikisha ubongo
 
Kwani ile Radio ya Mwanza ya Kikristo ni Maria FM inayotukana UISLAM umeshawahi kuiskia na kuitaka serikali waifunge ?

Achana na uzuzuuu wa kufikiri kwa masaburi. Grow up !
Tatizo ubongo wao umejaa ujinga watakusumbua hawasikilizi radio zao wanavyotusi uislamu
 
Back
Top Bottom