CCM inafanya mambo kwa kuelekezwa na CHADEMA. Sera ya majimbo itawaumbua wote.
mimi nawashangaa sana,huyu ustadh anatukuna wakirsto wazi wazi lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa,sasa wewe suburi haya mambo yatawacost sana serikani.serikali gani isiyowajali watu wake ! Kiufupi kazi imewashinda na kama vipi wastepdown hata jeshi lichukue nchi potiriya mbali .tumechoka.
..............mkuu teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Who is Vasco da Gama jamani?
ustadh ilunga anadunda uswahilini,redio imaan inaendelea kurusha ----- hewani
Mbona Ustaadhi Ilinga pamaoja na matoleo yake ya DVDs na mihadhara yake hatujasikia walau akihojiwa?? Hii serikali iko hapo kwa maslahi yao binafsi au ya nchi??
the poison you are planting, isnt good for our nation. making suspicions realities is an offense. the government is working on the znz killings by (1)hunting those hooligans and bringing them to justice after they have been caught. investigation can take a week, a month, a year and so on.
religious leaders, including cardinal Pengo, have frequently preached to Tanzanians to stay calm as the government is working on the current unpleasant situation. think about our unity. think about peace that we enjoy. dont make it as if the government or muslims have declared war against christians. (2) how many muslims have been butchered and massacred in their home nation, tanzania? the list is long. dont take us into civil wars. dont paint a picture to the world that tanzania is against christianity!
Hivi hao policcm wanadhani nchi ni ya mfumo wa chama kimoja.......''watashindana lakini hawatashinda'' nchi ndio inaenda hivyo jeshi la polisi haliwezi zuia wananchi kuipenda chadema(M4C)Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.
Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo ingawa amehojiwa kutokana na habari anazozihariri.
Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi gazeti linaloandamwa kwa sasa ni Tanzania Daima.Inadaiwa serikali haifurahishwi na habari mbalimbali zinazotolewa na gazeti hilo hasa taarifa zinazoonekana kukitangaza na kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
Ulammaaah, Ustaadh, Sheikh Ilunga my mentor ! Namkubali sanaaaa
Hadanganyi kabisaaa na anaeleza kinaga ubaga kwanini Waislamu wamsaidie Nyereree kudai Uhuru na alafu Nyereree kuja kuwageukaa Waislamu kama hawajui...hata wale waliokuwa wanamlinda siku anaingia kanisani alikuja kuwageukaaa !
Nyerere amelaaaniwaa sanaaaa... Kwahiyo anachosema Sheikh Ilunga na juu ya huu mfumo kristo ni kweli kabisaaaa
Safi sana weka ndani huyo popo wanavuruga amani kwa kuandika. Fitna na majungu tuu
hil gazeti linaandika sana udaku ndio mana