Toshack Kibala
Member
- Apr 1, 2012
- 67
- 8
wanakimbia kivuri je ikija picha au mhusika itakuwaje?
..., kwani gazeti la Tanzania Daima ni la CHADEMA?
Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.
Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo ingawa amehojiwa kutokana na habari anazozihariri.
Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi gazeti linaloandamwa kwa sasa ni Tanzania Daima.Inadaiwa serikali haifurahishwi na habari mbalimbali zinazotolewa na gazeti hilo hasa taarifa zinazoonekana kukitangaza na kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
Ndio sababu za kukamatwa huyo mhariri?Hata mimi nashangaa sana unaweza kudhani huenda Zitto anauhasama na Mhariri mhusika. Very strong message about Zitto Kabwe je nyie kama Tanzania Daima kwa Zitto Kabwe mnamjenga au mnambpmoa. Tunawashangaa sana.
NI UJUHA KUJADILI KiTU MSICHOKIJUA, HAMJUI SABABU LAKIN MNAANZA KUUNDA HOJA ZISIZO NA MAANA.
KAMA AMEIBA? AMEBAKA? AMETUKANA? KATEMBEA NA MKE WA MTU?
INAMAANA MTU AKIWA MHARIRI ASIKAMATWE NA POLISI? SUBIRINI KWANZA MJUE SABABU YA KUKAMATWA KWAKE NASIO MNAKUJA NA HISIA TU KAMA SIO WASOMI.
USHABIKI WA KISIASA WA KUPINDUKIA HUPUNGUZA UWEZO WA KUTAFAKARI.
ustadh ilunga anadunda uswahilini,redio imaan inaendelea kurusha ----- hewani
mnataka kikwete awaache muendelee kuigawa nchi vipande vipande??????????????????????????????????????????
Mkuu, kwani hujui kama nchi iko under Auto-Pilot?
Vasco da Gama ametoka Ethiopia kaenda Uganda Kumzika Babake Museveni, huenda safari ya Ulaya tena ikaja soon
Only in Tanzania!
tanzania daima lilijijengea heshima lakini hivi sasa watanzania wamelishtukia, linaandika udaku sana
Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.
Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo ingawa amehojiwa kutokana na habari anazozihariri.
Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi gazeti linaloandamwa kwa sasa ni Tanzania Daima.Inadaiwa serikali haifurahishwi na habari mbalimbali zinazotolewa na gazeti hilo hasa taarifa zinazoonekana kukitangaza na kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
kama gazeti limekiuka maadili na kanuni za vyombo vya habari lazima lionywe. nakala ya onyo kupelekwa katika umoja wa vyombo vya habari. likirudia tena hfungiwa kwa muda. kama gazeti lina uchochezi na makala za kuhatarisha utulivu na amani ya nchi, bila shaka lazima lifungiwe.
kama makosa yako na taratibu za onyo zilifuatwa, nashauri TANZANIA DAIMA LIFUNGIWE
NI UJUHA KUJADILI KiTU MSICHOKIJUA, HAMJUI SABABU LAKIN MNAANZA KUUNDA HOJA ZISIZO NA MAANA.
KAMA AMEIBA? AMEBAKA? AMETUKANA? KATEMBEA NA MKE WA MTU?
INAMAANA MTU AKIWA MHARIRI ASIKAMATWE NA POLISI? SUBIRINI KWANZA MJUE SABABU YA KUKAMATWA KWAKE NASIO MNAKUJA NA HISIA TU KAMA SIO WASOMI.
USHABIKI WA KISIASA WA KUPINDUKIA HUPUNGUZA UWEZO WA KUTAFAKARI.
Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.
Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo ingawa amehojiwa kutokana na habari anazozihariri.
Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi gazeti linaloandamwa kwa sasa ni Tanzania Daima.Inadaiwa serikali haifurahishwi na habari mbalimbali zinazotolewa na gazeti hilo hasa taarifa zinazoonekana kukitangaza na kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA
hil gazeti linaandika sana udaku ndio mana
Wanapoteza muda ,wafanye kazi tuliyowaajiri wafanye.Kwanza waanza na kutafuta wauaji wa viongozi wa dini wakiwapata ndio waanze na waandishi wote hata wa Uhuru na Mzalendo.