Mhariri Rai Matinyi anaswa kwa Rushwa Monduli

Mhariri Rai Matinyi anaswa kwa Rushwa Monduli

Wapenda Vibahasha vya Kaki, sasa leo vimemtokea puani. Bado Pasco ane ipo siku tutasikia nae wamemlipua kwa kupenda vibahasha lazima nae ipo siku watamtia kwenye choo cha Mafisadi CCM.
 
Hawa waandishi wanaoendekeza uccm ndio wakuandike lazima watimuliwe, Muandishi gani huandiki habari mpaka upewe uccm?
 
huyo ni mula rushwa wa zamani sana na alikuwa anatumiwa na waarabu wa Loliondo kuandika taarifa za kupotosha umma kuhusu uchomaji wa maboma ya wamaasai. Amejengewa nyumba na waarabu. Dua za wafugaji wa Loliondo zimemkuta na hata chomoka hapo.
Kiukweli mimi binafsi nimesikitishwa na hii kadhia kumkuta Masiaga Matinyi kwa sababu huyu ni miongoni mwa waandishi jembe wa ukweli.

Waandishi kama mimi huitwa "wapiganaji" lakini Matinyi ni mmoja wa waandishi makamanda kama alivyo Manyerere Jacton. Hawa hawaendekezi njaa!.

Matinyi ni rafiki wa karibu wa Joseph Kabila walisoma wote tangu primary mpaka sekondari na mara Joseph alipopata ulaji ilitegemewa angeachana na fani, lakini kwa vile ni mwandishi wa wito, aliendelea na fani.

Mimi kupitia PPR huwa nafanya PR hivyo Matinyi akiwa Arusha amepita anga zangu fulani huko Arusha na mimi binafsi nimezungumza nae sana kuhusu ulipuaji wake na alishikilia msimamo wa kusimama kwenye fani kwa kufuata msimamo wa "no compromise no surrender!" Sasa ninaposikia mtu wa msimamo kama huyu kuja kuaibishwa na pesa mbuzi ni lazima nisikitishwe na kuhuzunishwa!.
 
Pasco, kuna mwandishi mmoja alikuwa anaandika makala toka Marekani hasa Washington D.C. alikuwa na jina kama hili la Matinyi; je ndio huyu aliyepatwa na balaa huko Monduli?
Bulesi, yule ni Mabhare Matinyi alikuwa mhariri Mkuu wa gazeti la Majira bado yuko DC. Hiyu ni Masiyaga Matinyi yeye yuko Rai na pia kuna Matinyi mwingine TBC-1!.
 
huyo ni mula rushwa wa zamani sana na alikuwa anatumiwa na waarabu wa Loliondo kuandika taarifa za kupotosha umma kuhusu uchomaji wa maboma ya wamaasai. Amejengewa nyumba na waarabu. Dua za wafugaji wa Loliondo zimemkuta na hata chomoka hapo.
Sordo, Jamaa alikuja Arusha kwa special assignment ya kuwalipua Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro!. Kama ni kweli anakula pesa ya Mwarabu na amemjengea nyumba, haiwezekani tena mtu huyo huyo aukate mti alioukalia!. Soma Rai la kesho uone alivyowalipua!.
 
waandishi wa habari wengi ndivyo walivyo.

kuna wengine wengi tu tena wanaheshimika kweli kila mwisho wa mwezi wanaenda pale Quality Centre kupokea mabahasha toka kwa Manji....na walivyo na akili za hovyo wanasaini kabisa kwenye kitabu kuwa wamepokea hela...hasas wewe wa The guardian unvuta 500,000/=
 
kwa hiyo pasco unataka kusema rafiki zako wamesingiziwa..?
 
Yaani huyo nawmobea afungwe kabisa
Watanzania hatuna roho mbaya!. Kumuombea mwenzako mabaya kwa tuhuma tuu ni roho mbaya!. Acha roho mbaya yako!. Watu walikwapua Bilioni 40 za Kagoda na wanapeta!, itakuwa tuhuma za rushwa ya pesa mbuzi hiyo?!.

Japo nimesikitishwa na kuhuzunishwa, naombea kesi hiyo iishe kamanda wetu arudi mstari wa mbele wa mapambano!.
 
Huyo mnafiki sana halafu ni mwongo nilishampigia simu kuhusu taarifa za Loliondo yaani ni kanjanja full na hazingatii weledi wa uandishi habari
Sordo, Jamaa alikuja Arusha kwa special assignment ya kuwalipua Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro!. Kama ni kweli anakula pesa ya Mwarabu na amemjengea nyumba, haiwezekani tena mtu huyo huyo aukate mti alioukalia!. Soma Rai la kesho uone alivyowalipua!.
 
Huyo mnafiki sana halafu ni mwongo nilishampigia simu kuhusu taarifa za Loliondo yaani ni kanjanja full na hazingatii weledi wa uandishi habari
Sordo, kanjanja ni mtu ambaye sio mwandishi au ni mwandishi lakini hana media yoyote anayoifanyia kazi bali kazi yake ni kuhudhuria semina, warsha na makongamano ili kuvuta zile bahasha za sitting au transport!. Na pia hufakamia misosi na vivywaji!.

Matinyi ni genuine Journalist hivyo sio kanjanja!.
 
Kwa huyo kukamatwa kuchukuwa mulungula haishangazi kabisa -- yeye ni kinara pale New Habari.

Mwaka juzi pia alipokea rushwa kutoka kwa jamaa mmoja ambaye baadaye alikuja kulalamika pale lakini Muhingo Rweyemamu aliyekuwa Mhariri Mkuu (ME) alimkingia kifua na kurudishwa kazini baada ya kusimamishwa kwa muda.

Wawili hao, pamoja na mwingine aitwaye Munyuku ambaye sasa yuko gazeti lingine liitwalo Tabibu ndiyo walikuwa vinara wa milungula pale New Habari.
Duh kumbe Innocent Munyuku naye alikuwa kinara? Hii rushwa limekuwa donda ndugu yaani mtu unatoka Sinza kwenda hadi Monduli kudai rushwa ya millioni moja? Hizo gharama za kwenda huko si zinazidi
 
kwa hiyo pasco unataka kusema rafiki zako wamesingiziwa..?
Crashwise, sijasema wamesingiziwa, nimesema jamaa ni jembe na mpiganaji wa kweli na ni kamanda!. Nimesema nimesikitishwa na kuhuzunishwa na yeye kukubwa na kadhia hii!.
 
Duh kumbe Innocent Munyuku naye alikuwa kinara? Hii rushwa limekuwa donda ndugu yaani mtu unatoka Sinza kwenda hadi Monduli kudai rushwa ya millioni moja? Hizo gharama za kwenda huko si zinazidi

ni milioni moja na laki nane.
 
isije ikawa kuna mchezo unafanywa, ili kupoteza 'maboya' maana rushwa kubwa kubwa zimewashinda, wao wana deal na rushwa hizi uchwala... nadhani kuna mchezo mchafu umeandaliwa...
maana ikumbukwe hii ni siku chache tu baada ya tukio lile la kukamatwa kwa mbunge tena kwa madai ya sh mil moja!
 
Mhariri na gazeti la Rai ,Masyaga Matinyi ametiwa mbaroni na takukuru kwa kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 200,000 kutoka kwa kigogo wa tanesco wilayani Monduli,kwa sasa ameletwa na anasota makao makuu wa takukuru Arusha

Naomba kwa mwenye taarifa kamili kuhusu habari hii please ...
 
Wapenda Vibahasha vya Kaki, sasa leo vimemtokea puani. Bado Pasco ane ipo siku tutasikia nae wamemlipua kwa kupenda vibahasha lazima nae ipo siku watamtia kwenye choo cha Mafisadi CCM.
Mkuu Mzalendo, sio kweli kuwa mimi ni mpenda hivyo vibahasha bali ndie mgawaji wa hivyo vibahasha!. Naomba tafuta muda utembelee hapa www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-...a-sio-kila-bahasha-ni-rushwa-pasco-wa-jf.html ili tuambue kuwa siyo kila bahasha ni rushwa!. Mimi ni mtetezi wa haki za waandishi, kama wajumbe wa vikao, semina, warsha, kongamano au mikutano, wanalipana sitting allowance na kupeana trasport, why not waandishi?.
 
Mkuu Mzalendo, sio kweli kuwa mimi ni mpenda hivyo vibahasha bali ndie mgawaji wa hivyo vibahasha!. Naomba tafuta muda utembelee hapa www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/215720-waandishi-wa-habari-na-bahasha-sio-kila-bahasha-ni-rushwa-pasco-wa-jf.html ili tuambue kuwa siyo kila bahasha ni rushwa!. Mimi ni mtetezi wa haki za waandishi, kama wajumbe wa vikao, semina, warsha, kongamano au mikutano, wanalipana sitting allowance na kupeana trasport, why not waandishi?.

Sasa Mkuu Pasco naomba kuuliza, hivi nyie waandishi wa Magazeti, Radio na Tv hamlipwi mishahara? Mbona mnapenda sana hongo (Vibahasha vya Kaki)? Hamuandiki habari bila ya Vibahasha na msipopewa habari haitoki kwenye Magazeti au kwenye TV's. Hivi Taaluma yenu imeegemea sana kwenye vibahasha kuliko kwenye habari zenyewe.
Pasco kwani hamuwezi kufanyakazi bila ya kupewa Vibahasha vya kaki? Hivi waajiri wenu hawawalipi mpaka muombe uccm?
 
Back
Top Bottom