Sordo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 396
- 122
Pamoja na maelezo yako mazuri pasco juu ya unavyomfahamu huyu jamaa lakini bado anakubali kutumika vibbaya tena kwa maslahi ya wawekezaji! Hilo ndio limenifanya nimwone hafai kabisa
Sordo, kanjanja ni mtu ambaye sio mwandishi au ni mwandishi lakini hana media yoyote anayoifanyia kazi bali kazi yake ni kuhudhuria semina, warsha na makongamano ili kuvuta zile bahasha za sitting au transport!. Na pia hufakamia misosi na vivywaji!.
Matinyi ni genuine Journalist hivyo sio kanjanja!.