[QUOTE]USIJIFANYE MJUAJI WA KILA KITU?KWANI WEWE NDIE NJAGU ULIOCHUNUZA SUALA HILI?YAELEKEA UNA MAFRASRESHENI YAKO[[/QUOTE]/CODE]
QUOTE=tpaul;9803541]Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO, William Mhando, amemkana mkewe Eva Mhando mahakamani kwa kukataa kwamba Eva sio mke wake. Mkurugenzi huyo amefunguliwa kesi ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na moja ya mashtaka yanayomkabili ni kula njama za kufanya ufisadi akishirikiana na mkewe, Eva, anayedaiwa kupewa zabuni ya mabilioni ya walipakodi kinyemela.
Source: Raia Tanzania.
MAONI YANGU
Naona wakili wa mhando ameamua kufanya hii kesi iwe complicated na kuchukua muda mrefu huku fisadi Mhando akizidi kutafuna fedha za umma alizojichotea. Haya ndio matatizo ya mawakili 'waganga njaa' tuliokuwa nao ktk nchi hii. Mawakili kama hawa hawana hata chembe ya uzalendo.
Mpaka vyeti vya ndoa vije vipatikane ili kuthibitisha uanandoa kati ya Mhando na Eva, kesi itakuwa imemaliza karne kabla ya kuamuliwa. Hivi nchi hii tumerogwa na nani?[/QUOTE][/QUOTE]
Mkuu, rudia kusoma mada kabla hujatoa mchango wako. Tatizo lako umekurupuka kuchangia kabla ya kusoma uzi.