Mhando amkana mkewe mahakamani

Mhando amkana mkewe mahakamani

Nani kakwambia mafisadi Tz wanafungwa? Au wewe mgeni?

Wahenga walisema ukistaajabu ya musa ... Na hii ni TZ jazz Band anything is possible under the sun kwani Magistrate atakula na kesi itakwisha na Papa Mhando will be set free chezea fisadi wewe???
 
Hapa ndipo mhando atakapopigia kona na kujichomoa kutoka kwenye kesi hii. Huyu wakili amemfundisha jambo ambalo litamsaidia kuepuka 'kutundikwa msalabani'.

Mhando amezaa na eve hivyo watoto wapimwe DNA ndipo itajulikana Kama yeye ni mkewe AMA la!
 
Kama ni hivyo kwanini hati ya mashtaka isingeandikwa alimpa tenda hawara na sio kama ilivyoandikwa sasa kuwa alimpa tenda mkewe.
NB. Sio kila anayeishi naye au kuazaa naye ni mkewe. Na pia uwepo wa watoto wa waliozaliwa na hao hauleti uhalali wa ndoa.

Bado watakuwa na makosa kwani kumpa mtu tenda kwa kuwa tu ni ndugu AMA iwe hawara hairuhusiwi kisheria hapo wakichofanya ni kuchelewesha tu hiyo kesi lakini bado hawaja maliza tatizo hebu watafuteni wataalam wa masuala ya ndoa kwani siku hizi ukiishi na mwanamke ndani ya miezi Sita tu kihuuhusiano wa kimapenzi huyo anakuwa mkeo.
 
Ndio maana mkuu nikasema hapo juu,kutoa utata,mhando wa tanesco,eva mhando na watoto walete vyeti vyao vya ndoa na vya kuzaliwa kama walivyowahi peleka makazini/mashuleni long way back(kumbuka vyeti vya kuzaliwa vinaeleza majina ya mama,majina ya baba na majina ya mtoto. Vyeti vya ndoa vina majina halisi ya mke na mme). Na kumbuka,mhando alikua ni mwajiliwa wa siku nyingi tanesco hivyo kule mwanzoni asingekua na wazo la kupeleka vyeti feki kwani hata wazo la kuanzisha kampuni na mkewe halikuwapo.Na pia kule kazini asingepeleka vyeti feki vya kuzaliwa watoto wake kwani lengo huwa ni vimthibitishe yeye na mkewe ili apate mafao yake mbalimbali.Kinachobaki mna connect dots tu!.

Mkuu SWAT: Trick hapa ni kwamba William Mhando alimpatia TENDA MKE WAKE (The operating word ni MKE). Eva kuzaa na William Mhando hakumfanyi EVA kuwa MKE wa Mhando. Hivyo vyeti vya kuzaliwa vya watoto, na hata DNA za watoto wa Eva na William hakuthibitishi kwamba ni MKE wa Mhando mbele ya sheria. Kitu kichoweza kudhibitisha mbele ya mahakama kuwa Eva ni Mke wa Mhando ni CHETI CHA NDOA, ambacho ninaamini William Mhando na Eva Mhando wanafahamu fika kwamba hakipo (kwasababu yeyote ile). Hapa ndio Ujinga wa MAWAKILI WA SERIKALI katika ku frame charges, ndio maana Serikali inashindwa kila leo mahakamani
 
Mhando amezaa na eve hivyo watoto wapimwe DNA ndipo itajulikana Kama yeye ni mkewe AMA la!

Ina maana wewe michepuko yako uliyozaa nayo yote ni WAKE zako?!. Tumepewea orodha ya watoto wa MKULU hapa, lakini mama zao hao watoto si WAKE za MKULU. Sisi tunamjua MKE wake ni MOJA tu yule tunayetambulishwa, first lady!
 
Bado watakuwa na makosa kwani kumpa mtu tenda kwa kuwa tu ni ndugu AMA iwe hawara hairuhusiwi kisheria hapo wakichofanya ni kuchelewesha tu hiyo kesi lakini bado hawaja maliza tatizo hebu watafuteni wataalam wa masuala ya ndoa kwani siku hizi ukiishi na mwanamke ndani ya miezi Sita tu kihuuhusiano wa kimapenzi huyo anakuwa mkeo.

Mahakama sio vijiwe, Mtuhumiwa (Mhando) hawezi kuhukumia kwa kosa/kesi ambayo hakushitakiwa. Mahakama haiwezi kuhukumu mtu kwa kosa la WIZI wakati mtuhumiwa ameshitakiwa kwa kosa la KUBAKA, hata kama kweli mtuhumiwa ni mwizi. Mhando ameshitakiwa kwa KOSA LA KUMPATIA TENDA KWA UPENDELEO MKE WAKE. (read again MKE WAKE) na sio NDUGU AU HAWARA YAKE. Hivyo Mhando hawezi kuhukumiwa kwa kosa la kumpatia tenda ndugu au hawara yake kwasababu sio kesi/kosa aliloshitakiwa nalo! Mawakili wa serikali they have to go back to the drawing board. Kama watang'ang'ania kwamba Eva ni MKE wa Mhando they will be defeated before the court of law. Kwani kufikia hao WENZI kukanana mahakamani kwamba sio MME na MKE they know for sure hakuna documents za kuwatia hatiani.
 
si kweli. Copy ya cheti changu cha ndoa nikiitaka naipata muda wowote. Taarifa zilizomo kwenye vyeti vya kuzaliwa watoto wangu,naweza zipata muda wowote hata vyeti vyao vikipotea. Huyo Eva Muhando alikuwepo tanesco from 1982 to 2009. Lazima taarifa nyingikuhusu family life yake zipo pale hr,so do mr mhando!

Una uhakika taarifa hizo hazijapotezwa kwa nguvu ya UFISADI?
 
Mahakama sio vijiwe, Mtuhumiwa (Mhando) hawezi kuhukumia kwa kosa/kesi ambayo hakushitakiwa. Mahakama haiwezi kuhukumu mtu kwa kosa la WIZI wakati mtuhumiwa ameshitakiwa kwa kosa la KUBAKA, hata kama kweli mtuhumiwa ni mwizi. Mhando ameshitakiwa kwa KOSA LA KUMPATIA TENDA KWA UPENDELEO MKE WAKE. (read again MKE WAKE) na sio NDUGU AU HAWARA YAKE. Hivyo Mhando hawezi kuhukumiwa kwa kosa la kumpatia tenda ndugu au hawara yake kwasababu sio kesi/kosa aliloshitakiwa nalo! Mawakili wa serikali they have to go back to the drawing board. Kama watang'ang'ania kwamba Eva ni MKE wa Mhando they will be defeated before the court of law. Kwani kufikia hao WENZI kukanana mahakamani kwamba sio MME na MKE they know for sure hakuna documents za kuwatia hatiani.
Well said, mkuu!
 
Bado watakuwa na makosa kwani kumpa mtu tenda kwa kuwa tu ni ndugu AMA iwe hawara hairuhusiwi kisheria hapo wakichofanya ni kuchelewesha tu hiyo kesi lakini bado hawaja maliza tatizo hebu watafuteni wataalam wa masuala ya ndoa kwani siku hizi ukiishi na mwanamke ndani ya miezi Sita tu kihuuhusiano wa kimapenzi huyo anakuwa mkeo.

Ushahidi kwamba aliishi naye uko wapi?
 
Back
Top Bottom