Mkuu

Inabidi ifunguliwe kesi ya Udhalilishaji Maiti....iweje maiti zimeharibika vibaya zije KUANIKWA uwanjani Huo ni Udhalilishaji...Tupinge kwa nguvu zote!!!!
Maiti zitakazopelekwa hapo uwanjani ni za watu wenye uwezo mdogo Ili zifanyiwe siasa ili kupata ubani wa 1m@. Lakini huwezi kuona maiti za wale wazungu kwenye hiyo kiki ya kisiasa. Cdm waendelee na ratiba Yao kama kawaida, maana hata wakienda hawawezi kupewa nafasi ya kutoa rambirambi rasmi kama chama.
 
ETI MAISHA MAGUMU ,HAHAHAHAHA

HIVI UNAAMINI KUWA WAKINA MBOWE WANAENDA KUANDAMANA BILA KUANDIKA PERDIEM?RUZUKU INATUMIKAJE BILA KUANDAA SHUGHULI YOYOTE KUONYESHA RUZUKU IMETUMIA?
Kwenye ile mikutano ya Makonda, Kila anayejitokeza huwa anapewa perdiem pia?
 
Pumbavu zako wewe, hayawani usiye na akili, haya wala ufahamu..!

Ni mahakama gani ilisema hao watu ni hatari na wanastahili kuwawa kwa namna ile na kwamba wangekuzuia wewe kulala na kutombana na mkeo/mumeo?

Nyie chawa wa CCM ni wajinga, wapumbavu, majambazi na wauaji msio na haya machoni kwenu ili mradi mnalinda uhayawani na uharamia wenu..!
Ushuzi wa bata kapanick
 
Huna akili kabisa wewe na chama chako.shetani wakubwa nyie. Angekuwa kiongozi wenu kada hapo ajali ni kutoka kamati kuu mngeendelea na huo utahira? Au mnaona hao walipoteza ndugu zao kuwa hawana thamani mbele za Mungu? Mijinga sana nyie. Mtaendelea kupuuzwa na watanzania siku zote maana hamna akili kabisa
Kule jeshini mtu akifa anaombolezwa kwa kufanya kazi zaidi au watu kuzidisha morali eneo la vita zaidi ndiyo namna sahihi ya kuomboleza.
 

Tanzania Secures Over $90 Million AfDB Funding for Railway Project Linking Burundi and DR Congo​

13:08, 24 February 2024


The railway project forms part of the "Multinational Tanzania/Burundi/DR Congo joint standard gauge railway project," envisioned to foster interconnectivity and enhance commercial relationships among the three countries through modern rail infrastructure.
Sputnik
The Tanzanian government recently inked a 231.3 billion Tanzanian shilling ($91.76 million) financing agreement with the African Development Bank (AfDB) on Friday to kickstart the construction of a modern railway infrastructure aimed at connecting Tanzania with its neighboring nations, Burundi and the Democratic Republic of Congo (DRC).
The initiative is a crucial component of the larger Standard Gauge Railway (SGR) network, which spans from the port of Dar es Salaam to facilitate connectivity through the central transportation corridor with neighboring countries.
The concessional loan agreement will support the construction of railway sections six and seven, linking the regions of Tabora to Kigoma and Uvinza to Malagarasi.

"The contract we have signed today, will strengthen rail transport and improve regional integration and commercial relations between our country and our neighbors in Burundi and the DRC," said Dr. Mwigulu Nchemba, Tanzania's Minister of Finance.
 
26 February 2024
Kilometa zero/sifuri
Stesheni ya Reli SGR
DAR ES SALAAM

Hatimaye toka mwaka 2017 Kipande cha Reli SGR cha kilometa 192 kati ya DSM MORO, TRENI imeanza majaribio


View: https://m.youtube.com/watch?v=X3c0fgbeM1U

Ikiwa imepita miaka takriban 7 toka jiwe la msingi kuwekwa kuashiria ujenzi wa reli mpya ya SGR, leo treni ya majaribio imeanza majaribio yaani testing kungalia mfumo / system kuwa mambo yamekamilika kipande cha mwanzo kutoka Dar es Salaam hadi mji kasoro bahari wa Morogoro umbali wa kilometa 192 baina ya Dar es Salaam na Morogoro.

Testing hii itahusisha mabehewa 4 yanayovutwa na kichwa kimoja cha treni yaani locomotive amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la reli Tanzania bwana Masanja Kungu Kadogosa.
 
Maiti zitakazopelekwa hapo uwanjani ni za watu wenye uwezo mdogo Ili zifanyiwe siasa ili kupata ubani wa 1m@. Lakini huwezi kuona maiti za wale wazungu kwenye hiyo kiki ya kisiasa. Cdm waendelee na ratiba Yao kama kawaida, maana hata wakienda hawawezi kupewa nafasi ya kutoa rambirambi rasmi kama chama.
Heshimu maisha ya watu Acha madharau ya hovyo,ninyi ndiyo hufanya iyo chadema ionekane ya wasiojitambua,WAHUNI na watafuta nafasi tuu
 
Heshimu maisha ya watu Acha madharau ya hovyo,ninyi ndiyo hufanya iyo chadema ionekane ya wasiojitambua,WAHUNI na watafuta nafasi tuu
Narudia tena, hakuna mtu mwenye uwezo angekubali mpendwa wake akalazwe hapo uwanjani ili kusaka ubani wa 1m. Wote waliokubali ndugu zao kwenda kufanyiwa siasa hapo ni walala hoi. Hutaki nilichosema jinyonge. Mimi sio msemaji wa cdm, kwahiyo ukitaka kuihusisha cdm na maelezo yangu wahusishe kimpango wako, lakini habari ndio hiyo.
 

25 MARCH 2024​

MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA MIUNDOMBINU YA RELI NCHINI​


news title here



Shirika la Reli Tanzania - TRC limefanya mkutano na wahariri pamoja na waandishi wa habari katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salaam Machi 25, 2024.

Mkutano huo ambao ulilenga kuelezea mapinduzi yaliyofanywa na Serikali ya Jamuhuri wa muungano wa Tanzania katika sekta ya miundombinu ya reli Tanzania na katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mkurugenzi Mkuu TRC Ndugu Masanja Kungu Kadogosa alieleza kuwa TRC inaendelea na ukarabati wa njia ya kati kupitia mradi wa 'Tanzania Intermodal and Rail Development Project - TIRP'.

“Mtandao wa reli umegawanyika katika kanda tatu, ambazo ni ukanda ya Kati, ukanda wa Kusini na ukanda wa Kaskazini” alieleza Ndugu Kadogosa.

Vilevile Ndugu Kadogosa alisema kuwa TRC inaendelea na ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kwa awamu ya kwanza inayojumuisha ujenzi wa mtandao wa reli wenye jumla ya kilomita 1,219 kutoka Dar es Salaam - Mwanza.

“Ujenzi huu wa SGR utakua moja ya nyenzo kubwa katika sekta ya uchukuzi nchini” alieleza Ndugu Kadogosa.

Aidha, Ndugu Kadogosa alieleza kuwa Serikali imekuwa ikiweka msukumo wa kibajeti wa utengaji rasilimali fedha ili kuhakikisha ujenzi wa miundombinu ya reli unatekelezwa na kukamilika kwa wakati.

“Wakati Mhe. Rais anaingia madarakani, kwa upande wa reli alikuwa muwazi na kuahidi kumalizia kipande alichokikuta na kuendeleza vipande vingine” aliongezea Ndugu Kadogosa.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano kutoka TRC Bi. Jamila Mbarouk alitoa shukurani kwa wahariri na waandishi wa habari kwa kufikisha taarifa sahihi za miradi inayotekelezwa na TRC pamoja na maendelo yanafanywa na serikali ya awamu ya sita katika sekta ya reli.

“Watu wa tasnia ya habari ni mabalozi sahihi wa kufikisha taarifa kwa umma, TRC inathamini mchango wenu kwa kuweza kuhakikisha taarifa zinafika wakati sahihi kwa umma kwa kudumisha maendeleo ya taifa letu” alisema Bi. Jamila.

Mhariri Mkuu wa Africa Media Group Limited Bi. Esther Zelamula ambaye amewawakilisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini alisema kuwa jukumu la wana habari ni kushiriki kikamilifu katika kutangaza mazuri yanayofanywa na Serikali pamoja na Shirika la reli.

“Vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa Dola, hivyo vina umuhimu mkubwa kwa umma na hatuna budi kuwa na uzalendo” alisema Bi. Esther.

Hata hivyo TRC linaendelea na ununuzi wa vitendea kazi kwaajili ya uendeshaji na ukarabati wa reli ambavyo umegawanyika katika makundi matano ikiwemo ununuzi wa vichwa vya umeme (Electric Locomotive) 19, Seti za treni ya umeme (Electric Multiple Unit) 10, mabehewa ya abiria 59, mabehewa ya mizigo 1,430 pamoja na mashine na mitambo 24 ya matengenezo ya njia ya SGR.

View: https://m.youtube.com/watch?v=YXvOuBZhtq0
Sources : tovuti ya shirika la reli / trc reli tv
 
Wadau wa kutoka nchi 7 za wadau Ushoroba wa Kati Central Corridor wakutana na kujadili mambo mazito


View: https://m.youtube.com/watch?v=UPxzAM9rBEo
Walituma watu kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ushoroba mzima wa kati .

Ben Mwanantala yupo pamoja na ujumbe wa wadau hao kutuonesha kinagaubaga yaliyojiri ndani ya mkutano

Utendaji wa ushoroba kuanzia bandarini reli na mipakani hali ipoje na changamoto mbalimbali

Miundo mbinu inayoimarishwa hasa Tanzania nchi inayobeba uzito mkubwa matumaini ya Ushoroba wa Kati kwa nchi hizo saba ikabidi tena wafike kuona SGR RELI mpya kituo kikuu cha reli Tanzania Tanzanite Dsm, kituo cha Pugu na kusisitiza reli ni network yaani muunganiko wa matawi yote na vipande vyote vya reli ili ufanisi wa juu kabisa ufikiwe .....


17 April 2024

REGIONAL CENTRAL CORRIDOR STAKEHOLDERS’ CONSULTATIVE COMMITTEE (STACON) MEETING IN DAR ES SALAAM, TANZANIA

1715331685204.png

The Central Corridor Stakeholders Consultative Committee (STACON) Meeting took place from April 16th to 17th, 2024, at the JOHARI ROTANA Hotel in Dar es Salaam, Tanzania.

Attendees included representatives from various public and private sectors across CCTTFA member States dealing with trade, industrialization, and transport. Additionally, the meeting saw the participation of CCTTFA’s new members, Malawi and Zambia, as well as officials from GIZ and AUDA NEPAD.

The STACON meeting is an important platform for participants from various sectors to collaborate to address key challenges and explore opportunities for the development and enhancement of the Central Corridor.

The meeting focused on the Central Corridor Transport Observatory Performance Report 2023 and the Countries’ priority actions and projects aimed at overcoming logistical obstacles, streamlining trade procedures, and optimizing the corridor’s efficiency and efficacy.

The inclusion of Malawi and Zambia, as newcomers to the CCTTFA, represents a notable milestone in expanding the scope of regional cooperation. Their presence signifies an increasing acknowledgment of the Central Corridor’s potential to foster economic growth and promote deeper integration among neighboring nations.

On 17 April 2024, STACON participants were given the chance to experience a journey on the newly constructed Electrified Standard Gauge Railway, a project underway by the Government of the United Republic of Tanzania, spanning from Dar es Salaam to Morogoro.

The participants expressed appreciation for this significant infrastructure advancement and urged fellow member states to explore potential links with the Tanzania SGR

Source : central corridor
 
Back
Top Bottom