May 21, 2020Mfano wa ujenzi wa Gabion unaotumiwa na Shirika la Reli Tanzania TRC kujenga daraja la gabion kuvuka mto Ugalla ktk mpaka wa mikoa ya Tabora na Katavi. Wahandisi wa TRC wanasema pia kutakuwepo kuta za gabion kadhaa kupunguza kasi ya maji ya mto Ugalla .
May 28, 2020March 1, 2020
Dodoma, Tanzania
Press briefing : Maendeleo ya mradi wa SGR reli
Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia kuhusu reli SGR kipande Morogoro Makutupora na SGR reli Dar- Moro maendeleo na changamoto. Pia mkopo wa fedha kwa kipande cha SGR kutoka Mwanza kuja Dodoma
Source : MAELEZO TV
Miaka 15 ni kuendelea kutumika baada ya kukarabati sio inakarabatiwa kwa miaka15 acha uzwazwa
Jamaa si mtanzania hajui kiswahili
John heche alisema hiyo reli yenu ya SGR ikiisha kufikia 2030 basi anarudi kuchimba madini anaachana na siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka Maktaba20 Dec 2017
MAKALA MAALUM YA UFUFUAJI WA RELI YA TANGA-ARUSHA
Kampuni ya reli Tanzania katika kuboresha huduma, inaendelea kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo huu wa ufufuaji wa njia ya reli kati ya Tanga na Arusha,, njia ya reli ambayo ilisimamishwa huduma kwa zaidi ya miaka kumi na tatu. Source : Tanzania Railways Corporation