ADE(Advanced Diploma in Engineering) inatambulika kama degree.Ni equivalent ya B.Eng,B.Tech in Engineering au Bsc in Engineering
Besides mbaka salutation yake ianze na Engineer ujue huyo mhusika kashatambulika na bodi ya wahandisi na ni engineer kamili(Professional Engineer)
Mimi msomi yoyote anayejitambulisha kwa watu wasiomjua kama Engineer, architect,PhD, etc etc, naona ni ushamba tu. Ni kwa wale ambao kufikia hapo, au kukaribia kufikia hapo ndio achievement kubwa zaidi waliyowahi kupata maishani mwao. watu wa sampuli za kujiita Eng. flani,hakuna hata la maana alilofanya kwenye hiyo fani toka aanze kujiita hivyo. Ni kuchosha waru tu. Kama wewe unaitwa stella manyanya, kwa nini uwape watu mzigo wa kutamka maneno zaidi?
Mimi msomi yoyote anayejitambulisha kwa watu wasiomjua kama Engineer, architect,PhD, etc etc, naona ni ushamba tu. Ni kwa wale ambao kufikia hapo, au kukaribia kufikia hapo ndio achievement kubwa zaidi waliyowahi kupata maishani mwao. watu wa sampuli za kujiita Eng. flani,hakuna hata la maana alilofanya kwenye hiyo fani toka aanze kujiita hivyo. Ni kuchosha waru tu. Kama wewe unaitwa stella manyanya, kwa nini uwape watu mzigo wr
Pope Francıs,Kilain na makasisi wengi wakatoriki ambao hawapo vyuoni wana doctorate au proffesorshp lakn huwa hazitajwi.Wazungu pia wako hvyo.Huwezi amani km Newton,Archmedes,Gallilee,Socrates,Plato,Aristotle walikuwa maprof.
Kuna mtu namfahamu anaitwa injinia maduhu hilo jina la injinia ndio jina lake la kuzaliwa
ADE(Advanced Diploma in Engineering) inatambulika kama degree.Ni equivalent ya B.Eng,B.Tech in Engineering au Bsc in Engineering
Besides mbaka salutation yake ianze na Engineer ujue huyo mhusika kashatambulika na bodi ya wahandisi na ni engineer kamili(Professional Engineer)
Hebu tuletee na taarifa za madokta na maprof huko chamani. Maana ni wengi kweli lakini wakiongea ni kama darasa la 7c, enzi hizo 7a lilikuwa la wenye akili.
Mkuu , title itabaki title kutokana na fani uliyosomea, kama umesomea udaktari utaanza na initial ya Dr , kama n uhandisi utaanza na Eng , na kama n mwalimu utaitwa hivyo
Cha msingi kubali , huu msemo
'God created the world but engineers change the world that has never ever been'
Taaluma n nyingi , lakini ukiona mtu kasoma engineering mpe heshima yake
Huyu Stella Manyanya ni FUNDO MCHUNDO lakini yeye amejibatiza u-engineer! Sijui kwanini bodi ya makandarasi haimuchukulii hatua!
Ni sawa tu muosha VIDONDA Hospital (no offense intended) kujiita Daktari bingwa wa kuosha vidonda!
We mweli mbumbumbu wa kutupwa!!Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.
Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.
This year,we call a spade a spade,not a big spoon!
Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Kuna kitu kinaitwa kujiita na kuitwa, yaani names na titles. Names ni majina mtu anavyopenda kuitwa, hahitaji registration popote wala ruhusa ya yeyote kujiita hivyo. Tuna ma Profesa kibao wakiongozwa na Profesa Matikisa, Profesa Singira, Profesa Maji Marefu, Profesa J wa Mitulinga, tuna ma daktari kibao, Dr. Ngizukulu Jilala, Dr. Kifimbo, Dr. Manyaunyau etc, hata tuna Diamond Platinum, Tuna Mwanafalsafa,etc hivyo ni ruksa yoyote kujiita vyovyote. Ila inapokuja kwenye formal name ni jina linaloonekana on any formal registrations, hili ni jina halisi na title halisi.
Kwenye hizi titles, zipo titles ambazo sio halisi, bali zinaandikwa kiuhalisia by proxy. Mfano Medical Assistant or RMO anaitwa Dr. Na anaandikwa Dr. Ila sio Dr. Stella Manyanya ni Eng. Stella Manyanya by proxy, ni halali yake kuitwa, kuwa addred na kuandika Eng.
Pasco
Mkuu kwani Advanced Diploma siyo equivalent na degree? Mimi najua advanced diploma kabla hazijafutwa zilikuwa ni equivalent na degree. Kwa maana hiyo advanced diploma in Civil Engineering is equivalent to Bachelor's Degree in Civil Engineering.Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.
Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.
This year,we call a spade a spade,not a big spoon!
Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Anatambulika na bodi ya wahandisi?
Kuwa engineer siyo lazima usajiliwe na board, ni academic qualifications ndiyo zinakufanya uwe engineer. Kusajiliwa na board kunakufanya utambulike kuwa wewe ni engineer anayeweza kufanya kazi kama Professional Engineer.
Mfano rahisi, unaweza kuwa daktari na usiwe umesajiliwa na ukafanya kazi zisizohusiana na wagonjwa ....................... ila huwezi kufanya kazi za udaktari kama wewe siyo daktari uliyesajiliwa na chombo husika!!
Technician! Zamani walikuwa wanapat FTC siku hizi naona ni DiplomaHivi fundi mchundo ndio taaluma gani?