Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

kwenye tovuti hapo chini jina lake halipo katika wahandisi waliopewa usajili.

Registered Engineers

Angalia kama utaona jina la walimu wa maengineer wengi wa Tanzania kama Profesa Luhanga, usipoliona tambua hao ni waliopewa karibuni.

Nimeweka namba yake ya usajili hapo juu na taarifa iliyotolewa bungeni ya Maengineer Wabunge kwenda kuapishwa na ERB wakiwemo Prof Mwandosya, Dr Shukuru Kawambwa na Proffessional Engineer Stella Manyanya.
 
Mimi msomi yoyote anayejitambulisha kwa watu wasiomjua kama Engineer, architect,PhD, etc etc, naona ni ushamba tu. Ni kwa wale ambao kufikia hapo, au kukaribia kufikia hapo ndio achievement kubwa zaidi waliyowahi kupata maishani mwao. watu wa sampuli za kujiita Eng. flani,hakuna hata la maana alilofanya kwenye hiyo fani toka aanze kujiita hivyo. Ni kuchosha waru tu. Kama wewe unaitwa stella manyanya, kwa nini uwape watu mzigo wa kutamka maneno zaidi?
 
Soma hapo juu..Stella Manyanya ni Proffessional Engineer mwenye ERB Registration namba PE1656.
Sijakataa, nimezungumzia kuhusu category aliyoanzia, na si aliyo nayo. Pia sikujikita kwa SM pekee, niliwatetea wote wenye Advanced Diploma za Engineering kuondoa mtazamo wa baadhi ya watu akiwemo muanzisha mada kwamba hawawezi kuwa Engineers. Hata kabla sijaona registration number, qualifications zake zinatosha kumuita Engineer, bila kujali category!
 
Nimekupata.
 
miaka ya nyuma vyuo vingi vilikuwa vinatoa advanced diploma. Dit, uclas, mbeya tech,cbe, mzumbe-idm et al. Sasa kwa wale wahitimu wa engineering kutoka vyuo hivyo nje ya udsm ambayo pekee ilitoa degree, walitambuliwa na erb kama technician engineers na wale wa degree kama engineers(graduate engineer) ukifanya seap na kuandika report erb unakuwa professional engineer, lakini kwa wale wa advanced walikuwa wanafanya mitihani ya bodi- erb, na hivyo kuwa professional engineer.
Likewise pale uclas wengi walisoma advanced diploma in building economics,wengine survey na geormatic et al. Quantity surveyors wengi tulio nao ambao ni age ya miaka kama45-50 na kuendelea wote hao ni advanced diploma kwani pale uclas degree ilianzishwa baadae. They are all qs bila kujali ni advanced au degree.

Baadae vyuo vingi viliamua ku phase out advanced diploma na kuweka degree, watu wa mwanzo mwanzo wakiwa ni mzumbe,uclas- ardhi university, baadae dit, must na baadae cbe, tia na ifm

hivyo namalizia kwa kusema kama mama stella alimaliza advance na kupata cheti na baadae kujisalimisha erb, huyo ni engineer halali na inapaswa nimelize kwa kusema honger eng. Stella manyanya!

Body ya wahandisi hutoa barua kwa muhusika kumueleza kuwa kuanzia sasa jina lako litaanzia na initial eng. Mwanzoni au mwiahoni kama hivi:-
1. Eng invisible
2. Bujibuji peng( t)
3. Faiza foxy grad eng( hii ni kwa muhandisi ambae ni fresh from school, au ambae siyo professional, au ambae hajaandika report ya kuomba kuwa professional, bila kujali kakaa miaka mingapi au ni profesa au bachelor)

kama hujapewa barua kufanya hivyo hauruhusiwi kujiita engineer

safi sana kwa maelezo haya nadhani yatasidia ktk mjadala
 
Stashada ni Advancd Diploma which is equivalent to a bachelor degree. Hawezi kusoma bachelor degree tena kwa vile ana advanced diploma bali anatakiwa kusoma Master Degree in Engineering. Huyo ni Engineer period.
Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.

Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.

This year,we call a spade a spade,not a big spoon!

Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
 
Usijali. Mbona mitaani mafundi kujenga std 7 wanajiita mainjinia. Mafundi wenye fani nyingine huwa hawajiiti hivyo sijui kwa nini. Zamani kulikua na mbunge mmoja alieitwa KIHIYO sijui yuko wapi sasa. Miaka aliyotokea huyo kihiyo ndio ccm ilichafuka mpaka leo makihiyo kibao. Ndio maana wanaona fahari kimwita fundi Mchudo Injinia. Ni aibu kwao!!!!! Hata wao! Acheni kuchafua fani za watu
 
Stashada ni Advancd Diploma which is equivalent to a bachelor degree. Hawezi kusoma bachelor degree tena kwa vile ana advanced diploma bali anatakiwa kusoma Master Degree in Engineering. Huyo ni Engineer period.

Vuta-Nikuvute kakurupuka
 
Huwezi jua u injinia anaomaanisha mwenzenu jaribu kuwa nae karibu huenda akawanong'oneza kuwa......uinjinia wangu ni ule wa wakati wa...............
 
Huwezi jua u injinia anaomaanisha mwenzenu jaribu kuwa nae karibu huenda akawanong'oneza kuwa......uinjinia wangu ni ule wa wakati wa...............
Usikurupuke kuamini kila unachosoma humu...hatujuani humu..yawezekane wengine na machizi wamekutoroka hospital.Hivyo kuwa mwangalifu kabla hujaamini ulichokisoma humu.
 
Dah! hata mimi nilikuwa nashangaa sana, Mhandisi gani mweupe hivi. Yaani akiwa anaongea na MANGWINI, Mangwini wanamuacha mbali sana, sasa nikawa najiuliza huyu kweli ni Mhandisi, mbona mweupe hivi?
Sasa nimejua kuwa ni Ngwini tu yule.
 
Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.

Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.

This year,we call a spade a spade,not a big spoon!

Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
Ila aisee ungetuwekea na ka CV kake, dah ingekuwa imekaa poa sana aisee.
Pamoja na hilo naambatanisha na ombi la CV ya ASUMPTA MSHAMA. Naomba iwekwe jamvini.
 
Dah! hata mimi nilikuwa nashangaa sana, Mhandisi gani mweupe hivi. Yaani akiwa anaongea na MANGWINI, Mangwini wanamuacha mbali sana, sasa nikawa najiuliza huyu kweli ni Mhandisi, mbona mweupe hivi?
Sasa nimejua kuwa ni Ngwini tu yule.

Umekurupuka...hii ni dalili kuwa yawezekana wewe ndio mweupe zaidi
 
Ila aisee ungetuwekea na ka CV kake, dah ingekuwa imekaa poa sana aisee.
Pamoja na hilo naambatanisha na ombi la CV ya ASUMPTA MSHAMA. Naomba iwekwe jamvini.

Soma hiyo CV page ya 3 alafu linganisha na yako.
 
Back
Top Bottom