tuacheni izo publications alizo fanya nizakihandisi kwli? mbona tunachekeshana wakati watu tunataka tuwe siriasi ili tukomboe nchi. anaujuzi gani wa ujasiriamali hadi kupublish paper ya ujasiriamali? au ametuandikia aliyokuwa akiandika kwenye magazeti sehemu ya barua za wasomaji? kama ni hivyo wakina kubenea na MMK wanaweza jaza server nzima ya jf kwa kulist mambo waliyoandika. sometimes jf inanifanya niwe na hasira!! ngoja niende kwenye jokes na MMU
Hizo siyo publication ila ni barua za wasomaji........... mbona nimetafuta hata moja kwenye maktaba za vyou sijaonaaaa?? ngoja nikalale maana inanichefua sana kuwa na Kihiyo kama huyu Graduate Technician Engineer aka Fundi Mchundo