Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

Taarifa zilizopo ni kwamba Fiesta itafanyika Mbeya kesho(kwa mujibu wa Clouds fm) Sugu ameshikilia msimamo wake wa kuizuia isifanyike Mbeya na kesho utafanyika mpambano wa mpira wa miguu uwanja wa Sokoine ukimuhusisha Sugu na wasanii wengine kama Mgosi Mkoloni,Afande Sele,Ferooz n.k uwanja ambao utatumika kwa ajili ya fiesta hiyo hiyo kesho.WANAMBEYA NA WANA JF MNALIONAJE HILI? Damu haitamwagika hiyo kesho?
 
Sugu nAE VIPI AISEE? kwa nini asijifunze kupotezea vitu vingine jamani? hatakama damu ikimwagka itakuwa sio yake na hata kama akifa mtu atakuwa sio yeye...waache wafanye fieast yao bana sugu.
 
Kesho ndio ile siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu wana Mbeya!!
 
Hiyo ndo anti virus yenyewe, nlidhani anti virus ime expire.
 
Huku mbeya fiesta hatuitaji mana haina faida kwa wasanii zaidi ya clouds kujinufaisha wao wenyewe wakati wasanii wetu wakibaki maskini,wajaribu kufanya tamasha lao kesho la fiesta ndiyo watawaona vijana wa mwanjerwa ni kina nani
 
Ni msimamo wa CDM au wa Sugu? Sababu nimemsikia Zitto akisifia Fiesta kwenye radio Clouds!
 
Sugu anatakiwa akue na ajitambue, wale watu wameruhusiwa na mamlaka zinazohusika sasa yeye kwa nini anatakaka kuzuia, kwa staili hii kuna siku Mbunge wa Temeke atazuia Simba au Yanga zisitumie uwanja wa Taifa.
 
nnavyowajua vijana wa mbeya wakijazwa ujinga na kununuliwa kimpumu hawachelewi kummwaga mtu utumbo.ngoja tuone
 
Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali Fiesta ifanyike Jimboni mwake.
Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa Upinzani; Ni kwamba wanatunishiana misuli au ni Maamuzi ya CHADEMA kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?

Nenda kapige mswaki, umagamba wako unakusumbua
 
Chadema ooooyyyyyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yani huyu nae kwenye Bunge simsikiagi hata siku moja akiongea la maana leo hii katika vitu vyote anataka kuzuia Fiesta?
 
Yani huyu nae kwenye Bunge simsikiagi hata siku moja akiongea la maana leo hii katika vitu vyote anataka kuzuia Fiesta?

Kusikia ni mpaka uwe na masikio..... si kila binadamu anaweza kusikia.....Na kusikia si haki ya msingi ya Binadamu....KIZIWI HASIKII
 
Taarifa zilizopo ni kwamba Fiesta itafanyika Mbeya kesho(kwa mujibu wa Clouds fm) Sugu ameshikilia msimamo wake wa kuizuia isifanyike Mbeya na kesho utafanyika mpambano wa mpira wa miguu uwanja wa Sokoine ukimuhusisha Sugu na wasanii wengine kama Mgosi Mkoloni,Afande Sele,Ferooz n.k uwanja ambao utatumika kwa ajili ya fiesta hiyo hiyo kesho.WANAMBEYA NA WANA JF MNALIONAJE HILI? Damu haitamwagika hiyo kesho?
acha majungu wewe umeshakuwa mtu mzima....... tupe source ya taairfa yako... yaaani sugu aache bunge kisa kwenda kucheza mechi sokoine eti kuzuia fiesta??????
 
Sugu anatakiwa akue na ajitambue, wale watu wameruhusiwa na mamlaka zinazohusika sasa yeye kwa nini anatakaka kuzuia, kwa staili hii kuna siku Mbunge wa Temeke atazuia Simba au Yanga zisitumie uwanja wa Taifa.
yaani wewe na akili yako unakubali hearsay???????? nani kaanzisha upuuzi huu wa kijinga
 
Sugu nAE VIPI AISEE? kwa nini asijifunze kupotezea vitu vingine jamani? hatakama damu ikimwagka itakuwa sio yake na hata kama akifa mtu atakuwa sio yeye...waache wafanye fieast yao bana sugu.
Ivunga huwa naheshimu sana mawazo yako na pia naendelea kuheshimu pia.Suala la Sugu na hao virus halijaanza leo lina zaidi ya miaka kumi saivi,muda huu ninavyokuambia ni kwamba nyomi iliyoja uwanja nzovwe pale Mby si ya kitoto.Watu wa Mby huwaambii kitu kwa Mr president wa Mby sugu.Wait brother u wil see.
 
tamasha la sugu halifanyiki sokoine bali uwanja wa luanda nzovwe.mtoa taarifa usiwe unakurupuka tu kama wazee wa posho a.k.a wazee wa kuunga mkono kwa asilimia mia moja huku wanatoa mapungufu
 
Back
Top Bottom