Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

Waheshimiwa wa Chadema ndio wanasababisha yote haya
Wana JF;
Huko mbele mtakuja kunikubalia kuwa
angalau 50% ya watu humu JF wanashahibiana/kufanana na avatar zao, kimwonekano ki-tabia na kimatendo! Believe me! Rejao: Meno ya juu yako kwenye kidevu, halafu ya chini yako kwenye koromeo. Hawezi kupishana sana na avatar yake!
 
praaaaaaaaahh!!!! tatatatattaaaaaaa... pwaaaaaahhh!!...

natapika kila nikisikia ishu za mawingu fm...
 
Mkuu nimekusoma!
Certificate in Terrorism Studies
16979_podborka_101.jpg
 
Wana JF;
Huko mbele mtakuja kunikubalia kuwa
angalau 50% ya watu humu JF wanashahibiana/kufanana na avatar zao, kimwonekano ki-tabia na kimatendo! Believe me! Rejao: Meno ya juu yako kwenye kidevu, halafu ya chini yako kwenye koromeo. Hawezi kupishana sana na avatar yake!

kweli kabisa kaka, wanaoshirikisha vichwa vyao utakuta wanafanana na avatar zao.
 
Wana JF;
Huko mbele mtakuja kunikubalia kuwa
angalau 50% ya watu humu JF wanashahibiana/kufanana na avatar zao, kimwonekano ki-tabia na kimatendo! Believe me! Rejao: Meno ya juu yako kwenye kidevu, halafu ya chini yako kwenye koromeo. Hawezi kupishana sana na avatar yake!

Mambo ya Avatar hapa yametoka wapi?
Chadema utawajua tu! Hebu fungukeni.... Kubalini kukosolewa,
 
BASATA Inatakiwa kutupia macho hii festival maudhui yake na athari kwa vijana.Tacaids nao kama hawapo maana humo ni jukwaa lao la kuelimisha teenagers
 
wasanii nao ni watu wa ajabu,mpaka mtu awasemee!nyie hamuoni wenzenu wa hata hapo Uganda tu jinsi walivyonufaika na kazi yao,nyie mnakubali kunyonywa mpaka lini?hii ndio ilikuwa nafasi ya kuitumia,Mr sugu kaonyesha njia nyie endelezeni,jiungeni muwe kitu kimoja,wakitaka kuwatumia wingie mikataba ya uhakika sio mnataka sifa za mitaani tu,kama ipo ipo tu msitishike na kuhodhiwa na chombo kimoja cha burudani,shauli yenu maisha ni leo kesho inakuja kivingine kabisa.
 
waandaaji kemeeni mambo kama haya,sasa amevaa nini hapo?halafu tunataka vijana wetu ambao ndio wengi wanashiriki kwenye matamasha kama haya wawe na tabia nzuri?
 
Sio ishu clouds fm ni radio ya mipasho,usipende kuisikiliza.Pia mkurugenzi mtendaji wa clouds fm Ndg Ruge Mutahagwa ni adui mkubwa wa Mr SUGU,fiesta imeandaliwa na clouds fm.Kama ulikuwa unasikiliza hiyo radio wakati wa kampeni ungesikia jinsi walivyokuwa wanamsema vibaya mgombea ubunge wa chadema mbeya mjini mr SUGU.Pia kuna album inaitwa antivirus ya Mr SUGU amezungumzia mengi.Mi nadhani ni personal conflicts kati ya clouds fm na Sugu.Kuhusu Zito kuzungumza kwenye hiyo radio mi nadhani ni mtazamo wa mtu binafsi.Hakuna ugomvi kati yao na fiesta sio ya chadema wala haina uhusiano na ubunge wa mtu.
 
Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali Fiesta ifanyike Jimboni mwake.
Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa Upinzani; Ni kwamba wanatunishiana misuli au ni Maamuzi ya CHADEMA kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?

You deserve a ban .Hoja yako ni chonganishi .Hoja hii inamsaidia nini mwananchi au maendeleo ya Nchi hii ?
 
You deserve a ban .Hoja yako ni chonganishi .Hoja hii inamsaidia nini mwananchi au maendeleo ya Nchi hii ?

kwa hiyo Mbunge wa Chadema anavyowahamasisha wananchi kushiriki Fiesta unaona ni sawa? Huyu mbunge ndiye anatakaiwa akuambie ushiriki wa Fiesta utakusaidiaje wewe mwananchi wa kawaida.
 
Join Date : 20th June 2011
Posts : 33
Rep Power : 0

Jamani acha kupotosha umma hakuna kitu kama hicho kilichojitokeza,ni kheri ufute thread yako

Acha ubishi usiokuwa na maana. Sikiliza Clouds fm now Utamsikia Mheshimiwa akiwahamasisha!!
 
Back
Top Bottom