Kumbe madaraka mazuri aisee maana hata ng'ombe wa waziri mkuu naye ni waziri mkuu wa ng'ombe wengine.
Hebu angalia ng'ombe wanaishi kwenye nyumba ya bati wakati hapa kijijini kwetu ni kama robo ya wakazi tu wenye nyumba za bati!
Kwa uelewa na usikivu wake huo huo ndio maana aliamuru wapigwe tuu maana kachoka.Mzee pinda ni mmoja kati ya viongozi ambao wana uwezo mkubwa wa kusikiliza na kuelewa maoni ya watu.
Baada ya kuukunja huo uso ameuweka wapi sasa,mfukoni au sandukuni?mi nataka kujua nani kamuuzi? mbona kakunja sura?
Kumbe madaraka mazuri aisee maana hata ng'ombe wa waziri mkuu naye ni waziri mkuu wa ng'ombe wengine.
Hebu angalia ng'ombe wanaishi kwenye nyumba ya bati wakati hapa kijijini kwetu ni kama robo ya wakazi tu wenye nyumba za bati!
Kumbe madaraka mazuri aisee maana hata ng'ombe wa waziri mkuu naye ni waziri mkuu wa ng'ombe wengine.
Hebu angalia ng'ombe wanaishi kwenye nyumba ya bati wakati hapa kijijini kwetu ni kama robo ya wakazi tu wenye nyumba za bati!
Hiyo ndo asili yake, sijui aliupataje U-PM