nmeipenda sana hii ila anaonekana aiacha uwaziri sijui atakuaje
Siasa zenyewe za maudhi kama saga la Dr. Slaa na chadema, bora mzer wa watu wewe jipumzikie tu
Kula zako pensheni achana na misuguano ya siasa! Saafi sana pembeni maji, mkononi kula novo! unarelax swafiiiiii
Mtoto wa mkulima akiwa amepumzika kwenye mabanda ya mifugo.
nmeipenda sana hii ila anaonekana aiacha uwaziri sijui atakuaje