Mh Waziri Mkuu na viatu vya kulalia

Mh Waziri Mkuu na viatu vya kulalia

Sioni cha kushangaza pale,so long as he has peace of mind hakuna shida,kwa uchumi wa ki-Tanzania picha inamuonyesha akiwa katika hali inayofanana na uchumi wa nchi yake.

Chuki mbaya
 
Pamoja na mabaya yote aliyotenda (kama yapo) tusifikie mpaka kumkashifu mh Pinda.Ni mtu mzima inawezekana ametuzidi kila kitu ukiwemo umri.Heshima kitu cha bure.
 
hakuna mabaya
 
Yamekufanyaje bidada?

natafakari tu baada ya siasa huyu mzee anarudi uraiani kama siye tu....mbwembwe zote kwishney..japokua wakiwaga kwenye nafasi zao wanajiona mungu mtu
 
uko vizuri kuliko unavyofikiri
 
Back
Top Bottom