Mh Waziri Mkuu na viatu vya kulalia

Mh Waziri Mkuu na viatu vya kulalia

Mzee pinda ni mmoja kati ya viongozi ambao wana uwezo mkubwa wa kusikiliza na kuelewa maoni ya watu.
kuna tetesi bhuenda akajiunga UKAWA
 
Atajua mwenyewe na maisha yake manake sasa tumechoka na hamna namna nyingine.
 
walau pongeza basi
Amavubi wewe nakupongeza kwa kutuletea upande wa pili wa PM wetu, siyo huyu jamaa hapa

Hiyo ndo asili yake, sijui aliupataje U-PM

Ndo maana nikamjibu

Nimekosa tusi la kukutukana

Kwani hajui kama wanasiasa wana upande wa pili wa maisha?

Marehemu Dito alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora alikuwa anauza asali, alipoulizwa kwamba athibitishe ni muuza asali, alijibu, siyo ajabu mbona kuna wauza magazeti (kina Mengi) na wauza juisi (kina Bakhresa) hamuwataji?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom