uko vizuri kuliko unavyofikiri
Mwache na yeye aje apigwe tu maana tushachoka kila siku tupigwe sie tu.natafakari tu baada ya siasa huyu mzee anarudi uraiani kama siye tu....mbwembwe zote kwishney..japokua wakiwaga kwenye nafasi zao wanajiona mungu mtu
Hupaswi kukubali kirahisi mkuu,hapa hapigwi mtu wala goli la mkono.nimeshaegesha shavu mkuu
Yap yap tena ukizingatia hakuna kulala mpaka kieleweke.nilisahau kumbe kuna ngangari ndani ya UKAWA
anajaribu kutoa hasara ya kampeni kuona chenji