ilikua hivi alikuja kwenye mahafari ya TYCS chuo cha ualimu shycom alipomaliza sherehe akaomba kuongea na wanachuo tukaitwa assembly alipoona tunakusanyika fasta akaanza vijisababu na kudandia gari kwa hofu na kutoka chuoni kwa kasi je hii maana yake nini? Source mimi!