Mh. Waziri masele alipowakimbia wanachuo

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
ilikua hivi alikuja kwenye mahafari ya TYCS chuo cha ualimu shycom alipomaliza sherehe akaomba kuongea na wanachuo tukaitwa assembly alipoona tunakusanyika fasta akaanza vijisababu na kudandia gari kwa hofu na kutoka chuoni kwa kasi je hii maana yake nini? Source mimi!
 
mimi huyu bwana sijui anataka nini shy yaani haoni wala hasomi alama za nyakati haya bana ncjepata ban nyingine bure!
 
ilikua hivi alikuja kwenye mahafari ya TYCS chuo cha ualimu shycom alipomaliza sherehe akaomba kuongea na wanachuo tukaitwa assembly alipoona tunakusanyika fasta akaanza vijisababu na kudandia gari kwa hofu na kutoka chuoni kwa kasi je hii maana yake nini? Source mimi!

Pana wakati viongozi Wa nchi hii watakosa amani,wataingia makanisani/misikitini na polisi kibao Wa kuwalinda
 
'Mkiona vingozi wenu wana wasiwasi na wana walinzi wengi mjue wameanza kuwaibia' J. K. Nyerere.
 
ilikua hivi alikuja kwenye mahafari ya TYCS chuo cha ualimu shycom alipomaliza sherehe akaomba kuongea na wanachuo tukaitwa assembly alipoona tunakusanyika fasta akaanza vijisababu na kudandia gari kwa hofu na kutoka chuoni kwa kasi je hii maana yake nini? Source mimi!

Kwa Kiswahili hicho nasikitika sana kuona "eti" mwanachuo cha ualim akiandika kwa Kiswahili kibovu namna hiyo, ndiyo maana watoto wa Kitanzania hawafanyi vizuri mashuleni. Ndio mkitoka huko chuoni mnakwenda kufundisha huu utumbo wenu?
 
  • Thanks
Reactions: TKO

si vizuri kupotosha maana ya hoja ya mtu kwa kitu kidogo kama spelling, chagia hoja au usiandike kabisa kama huna point,sio lazima ujibu kila hoja
 
gamba changia hoja bac!
 
sio vizuri kukosoa kwa dizaini hiyo, wewe mwenyewe umekosea, sio "ualim" ni ualimu,
makosa ya spelling ni kawaida, hata mjengoni wanapotunga sheria wanakosea na kurekebishana, sembuse hapa,
 
Kwa Kiswahili hicho nasikitika sana kuona "eti" mwanachuo cha ualim akiandika kwa Kiswahili kibovu namna hiyo, ndiyo maana watoto wa Kitanzania hawafanyi vizuri mashuleni. Ndio mkitoka huko chuoni mnakwenda kufundisha huu utumbo wenu?

Kukosoa vyepesi sana lakini kuwa makini ni jambo gumu. Wewe watukana walimu na hapo ualim ni kiswahili cha wapi? Hata West Indies hawana kiswahili cha hivyo. Zoea kuwa na mtizamo chanya na wachangiaji hapa jambvini kuliko kumalizia hasira zako za kuwa gamba kwa kitu kidogo ambacho hata wewe umeelewa alimaanisha nini!!!
 
Kwa Kiswahili hicho nasikitika sana kuona "eti" mwanachuo cha ualim akiandika kwa Kiswahili kibovu namna hiyo, ndiyo maana watoto wa Kitanzania hawafanyi vizuri mashuleni. Ndio mkitoka huko chuoni mnakwenda kufundisha huu utumbo wenu?

Acha personal attack(ad hominem).
R na L kuzichanganya ni jambo la kawaida(common mistakes).
Pia ukumbuke Shy com wanatoa walimu wa biashara na sio wa Lugha ya kiswahili.
Na masomo ya Commerce/bookkeeping hayafundishwi kwa kiswahili!
 
Kwa Kiswahili hicho nasikitika sana kuona "eti" mwanachuo cha ualim akiandika kwa Kiswahili kibovu namna hiyo, ndiyo maana watoto wa Kitanzania hawafanyi vizuri mashuleni. Ndio mkitoka huko chuoni mnakwenda kufundisha huu utumbo wenu?

....acha kukosoa kiswahili wakati nawe hujui: ualim halipo katika kiswahili wala wingi wa shule sio mashule
 
si vizuri kupotosha maana ya hoja ya mtu kwa kitu kidogo kama spelling, chagia hoja au usiandike kabisa kama huna point,sio lazima ujibu kila hoja

Sikiliza. hapo siongelei spelling, na wewe ndio wale wale waliofundishwa na walimu wa hivyo vyuo vya kijinga-jinga, hapo naongelea mtu kutokujuwa wapi kuweka "r" na wapi kuweka "l". isitoshe, kutumia neno asilolijuwa. Funguka! japo kidogo.
 
....acha kukosoa kiswahili wakati nawe hujui: ualim halipo katika kiswahili wala wingi wa shule sio mashule

Wacha upunguani, ualim, ni neno la kirabu na upungufu wenu wa kukijuwa Kiswahili ndi mnaandika uwalim!

Hilo linatokana na neno "Alim" (msomi), na kutumia "ualim" ni sahihi kabisa kwa ajuae Kiswahili.

Neno "shule" linatokana na kijerumani kwa Kiswahili halina "plural" (uwingi) zaidi ya mashule? au wewe unalijuwa neno lingune linaloashiria uwingi wa shule zaidi ya hilo?

Antananarivo, Madagascar!
 
We chromosome, uache ubishi wa kipumbavu.
Neno sahihi ni ualimu, na sio ualim km unavyolazimisha.
Pia kwenye ngeli za majina, neno shule wingi wake ni shule tu, si mashule.
Ila umefanikiwa jambo moja, kuwatoa watu kwenye hoja ya Masele.
Hongera sana!
 
Kwa Kiswahili hicho
nasikitika sana kuona "eti" mwanachuo cha ualim akiandika kwa Kiswahili
kibovu namna hiyo, ndiyo maana watoto wa Kitanzania hawafanyi vizuri
mashuleni. Ndio mkitoka huko chuoni mnakwenda kufundisha huu utumbo
wenu?
mwanachuo cha ualim.umemaanisha nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom