K Kikelelwa Senior Member Dec 14, 2010 176 124 May 28, 2014 #1 Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia.
Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,864 41,237 May 28, 2014 #2 Kikelelwa said: Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia. Click to expand... ukifika tarn hut unistue
Kikelelwa said: Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia. Click to expand... ukifika tarn hut unistue
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,994 May 28, 2014 #3 hizi thread za kudhalilisha makabila ya wengine si nzuri sana na zinaleta taswira mbaya jamvini
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 May 28, 2014 #4 mshana jr said: hizi thread za kudhalilisha makabila ya wengine si nzuri sana na zinaleta taswira mbaya jamvini Click to expand... Kheir umesema Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mshana jr said: hizi thread za kudhalilisha makabila ya wengine si nzuri sana na zinaleta taswira mbaya jamvini Click to expand... Kheir umesema Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 May 28, 2014 #5 Kikelelwa said: Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia. Click to expand... We kabila gani, tukupe wasifu wako!
Kikelelwa said: Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada. I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%. kama huamini Jaribu utaniambia. Click to expand... We kabila gani, tukupe wasifu wako!
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 May 29, 2014 #6 tatizo liko wapi? si umeomba ndio ukapewa au ulipewa bila kuomba? Nalog off
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,640 697,994 May 29, 2014 #7 farkhina said: Kheir umesema Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums Click to expand... tutaendelea kuelimishana taratibu bila zogo, kashfa wala matusi
farkhina said: Kheir umesema Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums Click to expand... tutaendelea kuelimishana taratibu bila zogo, kashfa wala matusi
amkawewe JF-Expert Member Dec 9, 2011 2,021 527 May 29, 2014 #8 Samples size of your study. Reliability. Limitations
M MKIKUU JF-Expert Member Feb 26, 2014 335 488 May 30, 2014 #9 acha kugeneralize wewe kwa sababu watu tunatofautiana sana, kukubaliwa na huyo au hao miongon mwa hilo kabila sio kwamba wote ni kanyaga twende bana, wapo wanaojiheshimu sana tu.
acha kugeneralize wewe kwa sababu watu tunatofautiana sana, kukubaliwa na huyo au hao miongon mwa hilo kabila sio kwamba wote ni kanyaga twende bana, wapo wanaojiheshimu sana tu.