Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
wakitoka hapo waelekee Makete kisha Ludewa kabla hajarejea majimboni kwao
PONGEZI MAKAMANDA WA UKWELI
PONGEZI MAKAMANDA WA UKWELI
Nani kasema CHADEMA ni chama kisichofika mikoani zaid ya kaskazini tu?....
Ooh lord bless chadema, bless m4c
Genister muhagama c ndo mbunge wa makambako? Huyu mazel anajali zaid masilai ya ccm na c watu wa makambako, poleni sana natmai kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa, na hamtarudia kumchagua tena uyu mama muhaini wa haki
kama vile kuua tembo kwa ubua baba!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hivi hii CDM inataka kuchukua nchi kweli 2015!!!!!!
Jamani sisi wa chama chetu kusikia uchuunguu zambi jamani mmesahau chama letu lilitutoa kwa wakoloni halafu sisi kuanza kutengeneza njia ya mabasi ya kasi dar jamani zaambi mtusifu japo kidoogo bah!!!
hakika ccm leo imezikwa rasmi na makamanda wacdm,wanachama 1200 wamejiunga na cdm leo na wanaccm waliojivua magamba na kuvaa magwandaz ni 300,wananchi waliohudhuria mkutano wamechangia kiasi cha sh.1500000 papo kwa papo kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa chama.kwa mwendo huu ccm hawaponi asilani
hujakosea mkuu sifa yake kuu ni utajili.!
Mkuu hujatupa content ya hiyo rally!!