Mh sugu,Mh silinde,mh msigwa wafunika makambako.!

wakitoka hapo waelekee Makete kisha Ludewa kabla hajarejea majimboni kwao

PONGEZI MAKAMANDA WA UKWELI
 
M4C inatambaa kwa speed ya light ni vigumu upande wa pili kukubali hili ila soon scoreboard itageuka wao ndiyo watakuwa wakabaji!
 
Genister muhagama c ndo mbunge wa makambako? Huyu mazel anajali zaid masilai ya ccm na c watu wa makambako, poleni sana natmai kosa si kosa bali kurudia kosa ndo kosa, na hamtarudia kumchagua tena uyu mama muhaini wa haki

Nadhani hata yeye mwenyewe analitambua na uhakika wa kurudi bungeni hana tena ndo maana anajilimbikizia mali tu sasa na si kuwatumikia wananchi wake
 
Na tabia ya binadamu mpole huvumilia mateso kwa kuamini kuwa mkosaji alijisahau, lakini akichoka amechoka hawezi kubadilishwa. Watanzania tumechoka, hatutaacha kupiga kelele mpaka ccm itakapoondoka, unaweza kufikiri kuwa tunajifurahisha lakini machungu yaliyoko moyoni mwetu anayajua Mungu tu!!!!!!! Viva cdm.
 
Jamani sisi wa chama chetu kusikia uchuunguu zambi jamani mmesahau chama letu lilitutoa kwa wakoloni halafu sisi kuanza kutengeneza njia ya mabasi ya kasi dar jamani zaambi mtusifu japo kidoogo bah!!!
 
CHADEMA CHADEMA PEOPLE'S POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
HONGERA SANA TUNAHITAJI SASA KUANZA KUMWOMBA MUNGU ILI CDM 2015 itupatie rais mwenye uchungu, busara na atakayeongoza kwa masalahi ya waTZ wooote haswa the poor.
 
hakika ccm leo imezikwa rasmi na makamanda wacdm,wanachama 1200 wamejiunga na cdm leo na wanaccm waliojivua magamba na kuvaa magwandaz ni 300,wananchi waliohudhuria mkutano wamechangia kiasi cha sh.1500000 papo kwa papo kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa chama.kwa mwendo huu ccm hawaponi asilani
 
Jamani sisi wa chama chetu kusikia uchuunguu zambi jamani mmesahau chama letu lilitutoa kwa wakoloni halafu sisi kuanza kutengeneza njia ya mabasi ya kasi dar jamani zaambi mtusifu japo kidoogo bah!!!

lazima tuwasifu kwa kutunyonya miaka hamsini na kutufanya mafukara wa kutupwa na nyie kujifanya miungu watu.!
 
hakika ccm leo imezikwa rasmi na makamanda wacdm,wanachama 1200 wamejiunga na cdm leo na wanaccm waliojivua magamba na kuvaa magwandaz ni 300,wananchi waliohudhuria mkutano wamechangia kiasi cha sh.1500000 papo kwa papo kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa chama.kwa mwendo huu ccm hawaponi asilani

dahaaaaa!!!! R.I.P CCM
 
Mapambano yanaendelea,chadema=safina kama ya nuhu

safari hii ccm sijui watakuja na singo gani ya ukabila imebuma ya udini imejifia yenyewe ya ukanda cd haisomi.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom