wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,130
Milioni 50 kila kijiji
Hao wote kawatoa marinda ndo maana anawateteaElimu bure.......
Kutomfumbia macho yeyote mwenye kashfa....Bashite, Gambo etc
Hahahahaha, nimecheka kwa sauti kubwa ya kibashiteMagufuli huyuhuyu aliyepiga simu clouds na kusema anapenda wimbo wa dume suruali.......hadi sasa alilofanikiwa labda ni kutoshirikiana na wapinzani
Kumbuka alisema atawalinda. Alimaanisha nini?Unaongea pumba, kudai hela zilizoibwa ni kufukua makaburi? Any criminal act haizeeki baba. Wala hakuna Rais anayekuwa juu ya sheria iwe JK or any!
...mwendelezo wa hiyo na.6 ni kwamba sasa michango ya rambirambi nayo inafanywa kuwa chanzo cha mapato ya serikali..1.kweli hata swala la kuhamia Dodoma bado halieleweki
2.sukari imemshinda
3. alidai aerikal yake ni tajiri sana hahitaji msaada. Jana kapokea msaada wa magari mawili ya taka
4. vyeti feki. ruksa kwa wanasiasa na kwenye majeshi
5. muda si mrefu hata hili LA makinikia hutakaa ulisikie tena
6. mapato yalitangazwa kila mwezi siku hizi kimya. wamakuja na kodi ya majengo baada ya kuona fine za trafiki hazitoshi
Mie mwalimu wa sanaa niliehitimu mwaka 2015[emoji26][emoji26]
Salam!
Nimekuwa nikiwaza mengi juu ya Rais wa URT kuwa amekuwa mjanja saana. Kuna Mambo aliyoyatamka hadharani na kuyaanzisha lakini akichemka huwa hayarudii tena!
Swala la Kwanza, Mahakama ya Mafisadi. Mpaka sasa binafsi hata sielewi iko wapi na inafanya nini pia imefunga wangapi ama kuwakamata. Hii ni dhahiri ilikuwa kuwafurahisha walewale Watanzania wanaoishi hata hawaelewi nini kinaendelea badala yake wanafanya kazi ya Kushangilia tu.
Pili, alisema Wapinzani hawatanusa pua katika Serikali atayounda: Hapa kubwa tunataka atushuhudie kuwa je, Kitila, Mghwira na Mrema hawakuwa Wanasiasa wa Upinzani?
Tatu: Aliahidi Kubana Matumizi na Kukusanya Mapato mengi. Hapa bila shaka kila mtu anaona Matumizi ndiyo yamekuwa makubwa zaidi. Mfano, nchi ina Wakurugenzi wa Halmashauri waliokuwa wanahudumu karibia 80% wameondolewa na wamewekwa wengine, na hawa walioondolewa kwenye Ukurugenzi bado wapo kwa RAS wanapiga tu LSSE zao kwa Kwenda mbili. Kwa maana hiyo kuna DEDs wawili katika Maslahi kwa Nchi hii. Pia, Watendaji wengi waondolewa kwenye Nafasi zao Ila bado wanaendelea kupata Maslahi yao. Kulikuwa na haja gani ya Kuwaondoa kama hawakuwa na Matatizo?
Nne: Aliahidi kutofukua Makaburi. Binafsi naona hata haina haja kuelezea maana kila jambo liko wazi, jamaa anakomaa naona anapambana na vitu vya Kale. Mathalani, swala la madini anapiga hesabu tangu kuanzishwa kwa Mikataba, pia anadeal na mambo ya Kale hususani Watumishi wa umma!
Na mengine mengi tu, nimeandika Machache tu.
Yeye anasema siyo mwanasiasa sasa mbona mengi yanamshinda tu aliyoyaahidi? Na Kwanini Siku hizi ameacha kusema mniombee, kaona nini tena?
Ahsanteni!
Huyo mtu sio wa kumchukulia seriouzz,mtu anayeongea leo kitu flani alafu kesho anarudi na kukataa kile alichozungumza leo inatakiwa kumpuuza..tatizo anajiona yeye kama mungu mtu na hakuna kama yeyeSalam!
Nimekuwa nikiwaza mengi juu ya Rais wa URT kuwa amekuwa mjanja saana. Kuna Mambo aliyoyatamka hadharani na kuyaanzisha lakini akichemka huwa hayarudii tena!
Swala la Kwanza, Mahakama ya Mafisadi. Mpaka sasa binafsi hata sielewi iko wapi na inafanya nini pia imefunga wangapi ama kuwakamata. Hii ni dhahiri ilikuwa kuwafurahisha walewale Watanzania wanaoishi hata hawaelewi nini kinaendelea badala yake wanafanya kazi ya Kushangilia tu.
Pili, alisema Wapinzani hawatanusa pua katika Serikali atayounda: Hapa kubwa tunataka atushuhudie kuwa je, Kitila, Mghwira na Mrema hawakuwa Wanasiasa wa Upinzani?
Tatu: Aliahidi Kubana Matumizi na Kukusanya Mapato mengi. Hapa bila shaka kila mtu anaona Matumizi ndiyo yamekuwa makubwa zaidi. Mfano, nchi ina Wakurugenzi wa Halmashauri waliokuwa wanahudumu karibia 80% wameondolewa na wamewekwa wengine, na hawa walioondolewa kwenye Ukurugenzi bado wapo kwa RAS wanapiga tu LSSE zao kwa Kwenda mbili. Kwa maana hiyo kuna DEDs wawili katika Maslahi kwa Nchi hii. Pia, Watendaji wengi waondolewa kwenye Nafasi zao Ila bado wanaendelea kupata Maslahi yao. Kulikuwa na haja gani ya Kuwaondoa kama hawakuwa na Matatizo?
Nne: Aliahidi kutofukua Makaburi. Binafsi naona hata haina haja kuelezea maana kila jambo liko wazi, jamaa anakomaa naona anapambana na vitu vya Kale. Mathalani, swala la madini anapiga hesabu tangu kuanzishwa kwa Mikataba, pia anadeal na mambo ya Kale hususani Watumishi wa umma!
Na mengine mengi tu, nimeandika Machache tu.
Yeye anasema siyo mwanasiasa sasa mbona mengi yanamshinda tu aliyoyaahidi? Na Kwanini Siku hizi ameacha kusema mniombee, kaona nini tena?
Ahsanteni!
You are right Mkuu, Kweli Nchi inafanya sherehe Rais anapokabidhiwa Report. Hatari saana!ONLY IN TANZANIA MIRADI INAZINDULIWA KWA AJILI YA KUUZIA SURA ...HADI SASA MIEZI INAKARIBIA MIWILI MIRADI MIKUBWA IMEZINDULIWA NA HATA LORI MOJA HALIKO SITE ....NA ALIWAPA MIEZI 30 KUMALIZA KAZI HUKU AKIJUWA NI SANAAA
Na kadisco kabisaKafeli.
Kweli aisee, Swala la Kuteua Wa Vyama vingine eti naye katufanya Wendawazimu Watanzania! Aibu yake huyu!Huyo mtu sio wa kumchukulia seriouzz,mtu anayeongea leo kitu flani alafu kesho anarudi na kukataa kile alichozungumza leo inatakiwa kumpuuza..tatizo anajiona yeye kama mungu mtu na hakuna kama yeye
Tatizo yeye aliingia kwa mfumo kana kwamba anaweza kila Kitu, na akadhani Nchi ni kama Familia. Kingine Sifa zile zinamharibia kabisa pamoja na Visasi!Boss Ndikwega Ndio nyie mlitaka Mh. Rais apende na kudhamini vya Nyumbani aka Ndani? !!! Mlitaka Rais aje na ID yake halisi? Hata na mimi namtetea asije tu .... Mtamuua kwa Presha Rais aisee. Mngekuwa mnam tag kila siku.
Kwa hali hiiii??? Miaka mitatu mbele si utakuwa umeota ukurutu mwili mzimatumempa muda sasa miaka miwili na nusu ni teuzi tu economic plans bashite
Jamaa anachuki binafsi sijapata kuona kwakweli, yaani anapenda Visasi na Kukomoa bila sababu! Sipati picha kama anagekuwa ni Rais wa Nchi Zinanzojitambua, angelia tu, ashukuru anaongozi jamii ambayo wengi wao ni Kula kulala tu!Kiongozi anatakiwa kuwa mkweli na mtoa haki kwa wote bila upendeleo hapo atafanikiwa kwa kila jambo lakini ukiwa mbinasfi, mpendeleaji na mpenda sifa hutafanikiwa hata uende kusali katika makanisa yote na misikiti yote itakuwa ni bure kwa kuwa mungu hajaribiwi
Sikiliza rafiki yangu tunajua katiba inasema mitano mitano, lakini uhalisia ni formality tu hiyo Rais anapiga miaka 10. Hata Ilani huwa ya miaka 10 ndugu. Kwa hiyo wewe jiandae kisaikolojia tu kama ulikuwa unawaza sijui kinaweza kutokea kitu gani ondoa akilini, ana miaka 8 imebaki vuta subra atekeleze ahadi zake.Miaka nane ipi? Watanzania, nani Aliwaloga jamani! Mpaka Kichefu chefu kabisa! Lini mtaacha kuwaza upuuzi hivyo! Katika inasema miaka 5 unasema 8, ndiyo nini?