realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,981
Nyieee,minaona mnataka kumvuruga akili,akisoma hizi comments anaweza akaanza skwea wan,mtakoma maanake
Mkuu formality hii inaapply saana kwa Chama chao kumchagua Mgombea, lakini kwa Anything can happen tuache kuchagua kwa Mazoea! Ndiyo maana Waafrika tunaonekana watu wa Ajabu ajabu hivi hivi, tunafanya maamzi kwa mazoea, kweli laana hii sijui ilitoka wapi!Sikiliza rafiki yangu tunajua katiba inasema mitano mitano, lakini uhalisia ni formality tu hiyo Rais anapiga miaka 10. Hata Ilani huwa ya miaka 10 ndugu. Kwa hiyo wewe jiandae kisaikolojia tu kama ulikuwa unawaza sijui kinaweza kutokea kitu gani ondoa akilini, ana miaka 8 imebaki vuta subra atekeleze ahadi zake.
AbsolutelyKwa sasa serekali inaendeshwa kwa woga na hisia. It has no plan, no strategy, and no policy. As a result, it is bound to fail.
Mkoa wa Mbeya kwa kutumia sukari toka MalawiUkitaka kujua mambo anayosimamia yamemshinda angalia swala dogo la bei elekezi ya sukari ya tsh 1800 mkoa gani nchi hii unahiyo bei
Viwanda havijengwi na serikali,vinajengwa au vitajengwa na watu/taasisi binafsi.Hata Swala la Viwanda, anapiga Bajeti kwa fedha ya Mfukoni kwa Jirani yako, hatari saana!
Hahahaha, umeona Mkuu. Halafu Juzi tu kwenye Ishu ya Makonteina ya Mchanga, Tume imesema kwenye Kontena Ukiweka Taluma la Reli halafu Ukapitisha kwenye Scanner, Scanner haioni. Ninavyosikia Zile Scanners amenunua Kipindi hiki si muda mrefu, amekaa kimya maana anajua akiongea atakuwa anajikosoa!Bwana Mkubwa ana katabia kunyamazia alikovurunda
Hazungumzii kabisa uzwaji wa nyumba za serikali,meli ya uvuvi,mv Dar es salaam,wala mabilioni yaliyopotea wizara ya ujenzi chini yake wala million kumi kumi za wabunge
Lakini mapangaboi atazungumzia miaka yote ya utawala wake
Wasipokuja hao unaowategemea? Sijui kama umeelewa hoja yangu!Viwanda havijengwi na serikali,vinajengwa au vitajengwa na watu/taasisi binafsi.
Kazi ya serikali ni kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji.
Mazingira rafiki ni pammoja na kurudisha hadhi ya technical schools,technical colleges ili tupate mafundi wenye ujuzi wa kutosha.
Vinginevyo viwanda bila mafundi wazawa ni kuwatengenezea ajira mataifa ya nje.
Tatizo anajiona ye ndo ana akili kuliko watanzania wote....anasahau uongozi unahitaji busara....anasahau kuna watangulizi wake ambao ilitakiwa ndo wawe washauri wake....uongozi si kutumia mabavu tu kila sehemuKweli aisee, Swala la Kuteua Wa Vyama vingine eti naye katufanya Wendawazimu Watanzania! Aibu yake huyu!
Kwi! Kwi! Kwi!Walimu kupewa laptop
Mungu atupe uhai tuMkuu formality hii inaapply saana kwa Chama chao kumchagua Mgombea, lakini kwa Anything can happen tuache kuchagua kwa Mazoea! Ndiyo maana Waafrika tunaonekana watu wa Ajabu ajabu hivi hivi, tunafanya maamzi kwa mazoea, kweli laana hii sijui ilitoka wapi!
Mwanza nilikwenda nikakuta sukari sh3000!.Kutoka mwanza kwenda kagera sugar izalishwapo sukari ni umbali wa mwendo wa saa12 na pungufu.