Mhe Rais wangu John Pombe Magufuli hebu niruhusu nitoe ya moyoni kidogo kabisa kama unavyosema kuwa msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Mhe Rais, mambo yote tunakwenda sawa ila kwa hili la kujilimbikizia madaraka unaniboa sana. Haiwezekani kila kitu ufanye wewe, haiwezekani kila kitu ujue wewe, haiwezekani kila kitu uamuwe wewe, n.k.
Hebu ona issue ya koroso lazima uamue wewe?, issue ya kesi mbali mbali uamuwe wewe?, issue za kibunge uamuwe wewe, issue za kiuchumi uamuwe wewe?, n.k.
Naomba nikuulize, hivi wewe upo vizuri kichwani kiasi gani kwa kila sekta?.
Onana sasa madhara yake kwa wasaidizi wako wa sekta hizo, wamebaki wanasubiria ufanye wewe na kusubiria kutumbuliwa tu kwa maamuzi au maelekezo unayofanya ama kuyatoa.
Mfano mdogo unaoeleweka kwa wengi ni kwenye issue ya korosho, maamzi na maelekezo ufanye na kutoa wewe lawama waelekezewe wengine na kutumbuliwa watumbuliwe wengi!.
Acha hizo banah, ukiendelea hivo hao wateule wako watafanya nini kama kila kitu unaamua na kutoa maelekezo wewe?.