Paschal Matubi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2008
- 235
- 303
Eeeh bwana eeh, tatizo picha hiyo inakuwa intepreted na watu bongo kwamba besides ya hali ngumu ya maisha nyumbani rais wetu ankula good time but in reality haya ni mambo ya kawaida tu ya park za wenzetu kama hapa durban beach yapo mengi hayo for leisure na rais wetu kama mgeni akikaribishwa na wenyeji, sidhani italeta picha nzuri akikata kupanda provided secirity concers zimekuwa cleared na wapambe! But sometimes i think it needed a very fast concious thought decision of him or advisors on decidng to board the merry rider crane and about what negative implications of the photos to be taken, itakavyokuwa interpreted by people if it reaches our newspapers back home. Hiyo starehe kawaida huku, kila mtu anaruhusiwa kuride!
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Hata waraka wa Kanisa Katoliki ni jambo la kawaida huko Ulaya japo huku bongo mlileta kizaazaa kama mnavyoleta kizaazaa kwenye jambo dogo la merry cranes ambalo ni kawaida huko Ulaya.
Angeshauriwa vizuri kutoushangaa waraka basi huenda mambo mageni huku bongo kama hili l bembea wasingeshangaa.