Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Bajameni, tujiongezee uelewa wa posho kwa kuangalia ITV sasa hivi. Hawa wataalam wako ndani ya nyumba. Tumemkosa Mh. sana Mkinga
Deus Kibamba anasema waziri mkuu kapotosha.
Masako kataja posho 10!!!! Hii ni balaa. Mungu yupo lkn na atawahukumu magamba wote. Deus anasema wabunge waogopwe kama UKOMA.