MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,213
- 13,531
Huwezi kumkejeli mtu akisema anawasalimia nchi inazima mitandaoDalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Kwani Mapinduzi hufanywa na wakuu wa majeshi??Wakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.
Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Huyu kaanza kuchanganyikiwa 😂
Maisha ya udigidigi sio mchezo
Hiyo message aloiandika ninnzito sana tutajua tu vifo vya hao maraisHuyu Bwana Kaanza kunifikirisha juu ya Mzee mkapa Aisee Mungu Atusaidie.
Kumbe Kuna Siri nyingi Anazijua huyu Bwana.
Sisi tuendelee kusikiliza bwana mengi tuta yajua.
Wakati ipo mikononi mwake alifanya Nini!? Alishindwa Nini kupata huo uhuru anaodai sasa
Humphrey ameanza kuwehuka mapema sana, awe makini sana na waswahili anaopambana nao hapa nyumbani, ni watu wabaya sana.
Nchi imevamiwa na wahuni lazima ikomboleweKwa hiyo Polepole na yeye anadai uhuru?
Jeshi si mchukue nchi? Mbona mpo mpo tu
Drama zoleWale walioenda kwa dada yake walifuata nini?
Hajachanganyikiwa bali kawaonyesha Polisiccm kuwa yupo hapo Dar kwenu anatembea usiku ili kuwakwepa msimteke mkamuua ama kumbambikia kesi ya Uongo kama ulivyofanya kwa LisuDalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Akamatwe kwa kuzima mtandao, aibu gani hii!Nilichogundua huyu baba anatamani akamatwe ili apate kiki zaidi.. anajioma kama mpango wake wa kubwabwaja hauleti impact aliyoitegemea na mambo yanazidi kusonga sasa anajitokeza ili angalau amake headlines
Dear Jamhuri polepole ni wa kupuuzwa wala asitafutwe aendelee na press zake huku siku zinaenda atanyamaza mwenyewe
Mnataka jeshi lifanye uasi ..pumbav xnaa nyie hamna jema na taifa letuWakuu wa majeshi wanapata pension Nono, wanajengewa nyumba, wanapewa V8 kama zawadi ya kustaafu.
Hii ni hongo inayokwenda kwa 5% ya top cream jeshini. MkiSubiri jeshi lichukue nchi mtasubiri sana. Hawa wakubwa wanalinda hongo zao.
Polepole anajua vingi sana ndiyo maana katulia anakwenda kidogo kidogo akisubitia kampeni zianze ndipo ashushe Nondo ili wapiga kura wapime wenyeweHuyu Bwana Kaanza kunifikirisha juu ya Mzee mkapa Aisee Mungu Atusaidie.
Kumbe Kuna Siri nyingi Anazijua huyu Bwana.
Sisi tuendelee kusikiliza bwana mengi tuta yajua.
Hakuna Siri Zaid ya umbea .usimuamin mwanasiasaHuyu Bwana Kaanza kunifikirisha juu ya Mzee mkapa Aisee Mungu Atusaidie.
Kumbe Kuna Siri nyingi Anazijua huyu Bwana.
Sisi tuendelee kusikiliza bwana mengi tuta yajua.
Huo ujinga wa kutumia polisiccm wamkamate kisha wamsingizie kuzima Mtandao kesi ya Uongo wakati yeye hamiliki mitambo ya Serikali ya ccm ndipo kumepelekea ajifiche atembee usiku tuAkamatwe kwa kuzima mtandao, aibu gani hii!
Freeman Mbowe analijua hilo ndio maana akaingia kwenye maridhiano chapPole pole anatapa tapa tuu Hana jipya, hii nchi huwez kupata mabadriko Kwa kutegemea hawa wanachi, hii nchi nguzo ya mabadriko ipo kwenye defence , sehemu ambayo CCM ndo wamelalia
Utakuja kumkumbuka baadae siyo sasa hivi pale ukoo wa viongozi wanajimegea keki ya taifa kwa kasi ya ajabuDalili ya kuchanganyikiwa. Kutokuwa a respected diplomat akiwakilisha nchi yake Cuba na nchi kadhaa huko..kuwa kama digi digi mtembea usiku akijificha na kujirikodi.... so pathetic.
Aiseee huyu Kawa chizi