Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
nachoona hapa ni matunda ya multiple ID,mwanzinsha mada na baadhi ya wanaomuunga mkono naamini ni mtu moja anapigia upatu huu wizi wa magamba,tunasema hivi hizo pesa ni akiba zetu na tutazichukua tunapozihitaji! Kama unabisha subiri bunge likatae kurekebisha hiyo sheria uone tutakachofanya...kwa hili tupo tayari kwa lolote hata mvue nguo hatutakubali.nimemaliza...
Kama mleta hoja ninamuunga mkono hili lina tatizo gani. Mimi nimemuunga mkono lakini nimemponda alipopotoka na kusema kuwa wabunge wana PENSION wakati alitakiwa aseme ni GRATUITY.
Mbona wewe MTK kakuunga mkono kwa hii post yako, au nawe una multiple ID!!