Ninafuatilia bunge jioni hii SUGU amesema serikali ni ya wapumbavu, Kigwangala yeye kawaita wabunge wa CHADEMA wapuuzi kisa walikuwa wanamzomea,kwa kifupi wabunge wengi hawajadili hoja za msingi na badala yake wanajadili mambo ya vyama vyao ,bunge limejaa vijembe na upuuzi mwingine.
Kwa bunge letu hili tuna haki ya kuwa maskini milele.
mi nilifikili alikua anabomu na amelipuka na kusambalatisha bunge, niliogopa du?
Kwa hiyo wale wabunge wa CCM waliomtimua bungeni mwaka 2007 walikuwa vichaa wakiongozwa na Mudhihir, Malecela na Karamagi? Aliposema Mh. Sumari (R.I.P) ametoa kauli za hovyo hovyo kwanini CCM walipanic wakiongozwa na Mabumba? Unafiki mtupuNdio huwa namkubali Zitto, huwezi kusikia anaongea upuuzi upuuzi Bungeni.
Nimemsikia mpaka nikamwogopa
kwa kuogopa au kwa furaha!!Nimemsikiza mpaka nimetoka jasho!
Kwani Chemba ni nani, hana lolote, hovyo kabisa.
Mkuu hapa dawa ni moja tu ya kutuondoa ktk huo umaskini wa milele, dawa hiyo ni kukikataa chama kinacho ongoza serikali yenye viongozi wasio na muono wa mbali, viongozi wasiokubali kukosolewa hata pale wanapokosea, viongozi waiokuwa tayari kuwajibika pale mamlaka zao zinapokosea, viongozi wa chukua chako mapema, viongozi wa elimu za kuunga unga.
Hapo mkuu ndo tutauacha umaskini tulionao.
watu kama hawa wanafaa kufanya kazi mochwari!!kwa ujasiri alio nao hata marehemu anaweza kuwapangia zamu za kudeki!Ha ha kuna watu majasiri Duniani
Unajua nini? Siasa za majukwaani hawaziwezi tena. Wamegeuza bunge kuwa jukwaa lao la siasa.M4C yamtisha Kigwangalla, amesema chadema wakienda jimboni kwake ataliomba jeshi la polis liwadhiti.
polisi wakishindwa anawashawishi wananchi, wananchi wakishindwa anawadhibiti mwenyewe.
hivi huyu anauwezo wa kuwazuia chadema kweli.? ikiwa Bashe tu, anamnyima usingizi.!!
sha makala acha ushabiki mwigulu kamshika nani pabaya wewe, we pumbavu usiye jua kufikili
CHADEMA ni genge la wahuni.
Ni kiongozi gani wa CHADEMA aliyewahi kujiwajibisha/kuwajibika? Unaifahamu elimu ya Mh. Mbowe?