Mh. Lema aandika historia mpya

Mh. Lema aandika historia mpya

Pasco kwenye hili niko nawe .Mara nyingine ushabiki kama waandishi wa habari njaa kama akina Pasco na mapenzi kwa bahasha inaleta shida sana kwenye mambo ya maana .Hii ni habari ya kawaida na sijaona kwa kweli historia yeyote .
Mkuu Lunyungu, nimekusikia na U kweli unauma. Kitendo cha kuusema ukweli kuwa mimi Pasco ni mwandishi njaa sana na kuhusu mapenzi yangu ta dating kwa zile bahasha za khaki!, kimeniumiza sana!.
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco

I hope you studied history but funny enough you don't know what is history! Huna tofauti Dr Mrisho Jakaya Kikwete aliyesoma uchumi lakini hajui kwa nini Tanzania ni nchi maskini licha ya maliasili zote ilizonazo! Hivi darasani mlikuwa mnaenda kufanya nini?!
 
"Pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la Arusham"

Wanataka kuvunjwa hotel ya Kada wa CCM pale 7Up?

Ile wataivunja tu iko kwenye mto kabisa na jamaa alimwaga pesa nyingi sana kujenga pale
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!. Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!. Tanzania Daima bana!,nalo sometimes... Pasco
Rudi darasani ujifunze maana ya HISTORIA ndo urudi ucomenti hii thread
 
Pamoja na hoteli ya Naura Spring ambayo imejengwa kwenye mto
 
Sioni historia hapo kama lema alikuwa haingii mikutanoni ni upumbavu wake mwenyewe

Utamwelewaje wewe gamba elimu hujamaliza kwa majimarefu! Songa mbele Lena hawa mburula watakuelewa tu
 
In Tanzania, there's a thin line between broadsheet and tabloid newspaper.

Gazeti kama Tanzania Daima inakuwa hata ni vigumu kuelewa liko sehemu ipi katika kuhabarisha jamii.

Heading kubwa and politically attractive lakini ndani yake ni zero content.

Ni kulitendea haki kusema kama hili ni gazeti la udaku kwa sababu kwa upeo wa mwandishi huwezi kutegemea alichokiandika katika fikra na mtazamo wake anaweza kukiweka katika kundi la "kuandika" historia mpya.
 
"Pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la Arusham"

Wanataka kuvunjwa hotel ya Kada wa CCM pale 7Up?
Suala siyo kuvunja hoteli ya kada wa CCM bali ni kwa mujibu wa sheria ya mazingira!
 
In Tanzania, there's a thin line between broadsheet and tabloid newspaper.

Gazeti kama Tanzania Daima inakuwa hata ni vigumu kuelewa liko sehemu ipi katika kuhabarisha jamii.

Heading kubwa and politically attractive lakini ndani yake ni zero content.

Ni kulitendea haki kusema kama hili ni gazeti la udaku kwa sababu kwa upeo wa mwandishi huwezi kutegemea alichokiandika katika fikra na mtazamo wake anaweza kukiweka katika kundi la "kuandika" historia mpya.

Elimu ulopata toka majimarefu haiwezi ikakufanya kuelewa
 
Mkuu Lunyungu, nimekusikia na U kweli unauma. Kitendo cha kuusema ukweli kuwa mimi Pasco ni mwandishi njaa sana na kuhusu mapenzi yangu ta dating kwa zile bahasha za khaki!, kimeniumiza sana!.

POle sana kaka .Ndiyo hivyo mwenyewe ulisha wahi kukiri hapa kwamba ni muasisi wa bahasha huko ofisini kwako ndiyo haya sasa ya uandishi makanjanja nawe umo kisa bahasha .By the way vipi habari ya Lowasa na Urais ?
 
...wavunje tu,au wataifishe iwe ya wananchi,yamezoea kutuibia mafisadi...

Siyo kila anayewekeza kaiba, wengine ni wajasiri wa kukopa tofauti ya mimi na wewe.

kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara itabomolewa tu , kimsingi hakuna kada wa ccm nchi hii bhana ! Hawa ni wajanja wanja tu , wanafanya hivyo ili mambo yao yaende .

Mradi kama ule si una taratibu za kuidhinisha? Maafisa mipango miji na mhandisi wa halmashauri hawakuliona hilo?

Ile wataivunja tu iko kwenye mto kabisa na jamaa alimwaga pesa nyingi sana kujenga pale

Siyo mto usogezwe angalau 7up ndiyo invunje kuokoa mradi mkubwa kama huo?

Pamoja na hoteli ya Naura Spring ambayo imejengwa kwenye mto

Hii itakuwa ngumu kutekelezwa.

Suala siyo kuvunja hoteli ya kada wa CCM bali ni kwa mujibu wa sheria ya mazingira!

Hao waliodhinisha huo mradi hawajui kusoma hizo sheria?
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco
Pasco angalia kwanguvu hiyo Thread utaelewa tu mjomba!
 
Back
Top Bottom