Mh. Lema aandika historia mpya

Mh. Lema aandika historia mpya

hongereni lema na madiwani ila kuna kitu mmesahau soko la kwa morombo limevamiwa nakujengwa katikati wakati ramani ya soko ipo wazi naombeni mlifuatilie hili.
 
"Pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la Arusham"

Wanataka kuvunjwa hotel ya Kada wa CCM pale 7Up?

...wavunje tu,au wataifishe iwe ya wananchi,yamezoea kutuibia mafisadi...
 
Kwa kweli huyu kamanda anayo misimamo kwani toja achaguliwe amekataa kushiriki vikao kwa sababu ya Gaudence Lyimo
 
"Pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la Arusham"

Wanataka kuvunjwa hotel ya Kada wa CCM pale 7Up?

Mungi atakuja kutuweka sawa kuhusu hili!
 
Sioni historia hapo kama lema alikuwa haingii mikutanoni ni upumbavu wake mwenyewe
 
Kama alikuwa haingii kwenye mikutano halali ya baraza la madiwani, si ujinga wake?
 
Yaani mbunge kuhudhuria kikao cha Baraza la Madiwani ambacho yeye ni mjumbe kisheria na ni wajibu wake kuhudhuria ni historia!!!

Ama kweli Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

Tehethe! Yani Umemzidi Uhelewa Pasco mzee wa Bahasha.

Hongera na agiza uongewe posho uwe Team Leader wa #TeamBK7 na kuanzia sasa utapokea BK10.
 
Last edited by a moderator:
Tehethe! Yani Umemzidi Uhelewa Pasco mzee wa Bahasha.

Hongera na agiza uongewe posho uwe Team Leader wa #TeamBK7 na kuanzia sasa utapokea BK10.

Mbunge ni diwani. Diwani kaweka historia, historia gani - kuhudhuria kikao cha madiwani!

Kwanini hiyo ni historia? kwa sababu zamani alikuwa amesusa kuhudhuria vikao an avyopaswa kuhudhuria.

Comeon guys, hapo historia ni kususa kuhudhuria vikao ambayo mbunge Lema aliomba kura kwa wananchi ili ahudhurie hivyo vikao. Lema aliposusa kuhudhuria vikao tu, alikuwa kashaweka historia.

Kuzunguka jimbo zima kuomba kura ili uchaguliwe kuwa mjumbe wa vikao vya baraza la madiwani, halafu baada ya kupewa kura hizo unasusa kuhudhuria vikao hivyo ni kuweka historia.
 
Speed yetu ile ile 120 na 2014/15 tunaipeleka mpk 180 naikibidi 220 ili wakae kabisa, lazima tuhakikishe wananchi wanapata huduma muhimu zote24/7 na hii system niya ku upgrade yote kiujumla na sio mafungu mafungu kama ilivyo sasa

I am with u on this, no one will catch us in this speed.
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco

Pasco kwenye hili niko nawe .Nadhani watanzania kama great thinkers jaribuni kila mara kuandika vitu bila ya ushabiki .Mara nyingine ushabiki kama waandishi wa habari njaa kama akina Pasco na mapenzi kwa bahasha inaleta shida sana kwenye mambo ya maana .Hii ni habari ya kawaida na sijaona kwa kweli historia yeyote .
 
"pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la arusham"

wanataka kuvunjwa hotel ya kada wa ccm pale 7up?

kama imejengwa kwenye hifadhi ya barabara itabomolewa tu , kimsingi hakuna kada wa ccm nchi hii bhana ! Hawa ni wajanja wanja tu , wanafanya hivyo ili mambo yao yaende .
 
Madiwani wa Arusha wajinga sana,bado mgogoro haujaisha tu!!!,ili wawatumikie Wananchi.
 
Back
Top Bottom