Mh. Lema aandika historia mpya

Mh. Lema aandika historia mpya

Alibaka alipoenda uingereza hadi leo anatafutwa

Hizo ni propaganda za vijana wa buku 7 , na magamba.kwa taarifa yako kuna Interpol police.. kama ingekuwa kweli wangesaidiana na policcm kumu arrest acheni uongo wa kike.huyu kamanda lema amewashika pabaya na bado.chezea mtu anayesali wewe.
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco

Hiyo heading ni ya gazeti au mleta thread?
 
"Pia madiwani hao waliwaagiza wataalamu kupima maeneo muhimu ikiwemo mito, hifadhi za barabara na maeneo ya milima na kuyawekea alama ili kuyalinda yasivamiwe kama hali inavyoonekana kwenye maeneo mengi ya jiji la Arusham"

Wanataka kuvunjwa hotel ya Kada wa CCM pale 7Up?

......Kuvunjwa ni lazima!!!
 
Lema sio mzima upstear

Mkuu si utumie tu lugha ya taifa. Hii ya malkia nao huiwezi kabisa. Haya tufafanulie kwa kiswahili ulikuwa unamaanisha nini ulipoandika "upstear"
 
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco

mkuu Pasco wewe hujui kusoma? umeambiwa hajahudhuria vikao kwa mda wa miaka mitatu huku anachukua mshahara na posho
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu kusoma ili kujionea hiyo historia mpya iliyoandikwa na Lema ni ipi?!.

Kwa vile tunatofautiana uelewa, naombeni mlioelewa mnisaidie!.

Tanzania Daima bana!,nalo sometimes...
Pasco
Ongeza bidii, bado kuna wilaya hazijapata wakuu wake!
 
Hao waliodhinisha huo mradi hawajui kusoma hizo sheria?[/QUOTE]

​Rushwa na ufisadi hupofusha macho kiasi cha kuwafanya wahusika kutoona, kutokusoma na wala kutokusimamia sheria na kanuni za kisayansi na za nchi!!
 
Kweli kabisa hujakosea kwani habari za daktari wako majimarefu hazimo.

Usije fikiri kila mtu ni mfuasi wa majimarefu! Napenda kusoma gazeti ambalo ni apolitical, halina upande wowote, kwa mfano Mwananchi, waandishi karibu wote ni graduate, unategemea waandike madudu, pia wanamiiko yao ya kazi, na ni marufuku kwa mwandishi kupewa bahasha ya kaki, akigundulika kazi hana!
 
Back
Top Bottom