Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.
Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.
Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani.
Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma gazetini kuwa alishawahi kuanguka tena airport huko nje
Hivi kweli CCM na serikali yao wameshindwa hata kuangalia afya ya rais wa tanzania? Hawa madaktari wake wanafanya kazi gani? Au tunamlaumu dereva wakati gari ni bovu? Kila mmoja anapaswa awajibike kwa nafasi yake.
Hebu nisaidieni maoni jamani....
mbona hujamtaja RA?
Kama sio kifafa basi atakuwa na damu chafu yaani HIV
kuna topic moja ilizungumzia hili sula la hiv. Ila navyojua kama ni ukweli huwa anabadili damu basi ndo maana anadondoka! manake damu inatakiwa kubadilishwa mara kwa mara! kwasasa yupo busy na uchaguzi zaidi! Ila sijui kama kuna ukweli wowote juu ya haya madai!Kama sio kifafa basi atakuwa na damu chafu yaani HIV
Ni kweli alianguka ten Sengerema na Mbeya?...Sikonge hiyo swaumu yeye peke yake Makamba je au hafungi huyu?....Bilal mbona anadunda naye ni mzee zaidi?
tumwombe mola amnusuru na maradhi yanayomsibu after all ni mtanzania mwenzetu
hahaaaah, nilimsahau, huyu ndo mfadhili wa chama, na inadaiwa ni ngumu kutenganisha mali zake binafsi na miradi ya ccm, jamaa anawazunguka kiaina, anajidai anawafadhili, huku akiwabana kwenye mikataba, huyu ni mtu hatari.
Inawezekana ikawa swaumu wakati wa mfungo wa mwezi mtukufufu wa Ramadhani; lakini je anapoanguka wakati usio wa mfuno pia inakuwa swaumu? CCm hawataki kukubali kuwa Rais wetu ni mgonjwa na kutaka kuonesha hilo wamejiandaa baada ya sikukuu ya IDD wampe Rais ratiba kabambe ya kuomba kura kwa wananchi; kwa kufanya hivyo ni dhahili kuwa Makamba na wapambe wengine hawampendi Jakaya kwani hawajali afya yake bali maslahi yao; je akianguka tena watasema nini? Hata Jakaya akishinda wasiwasi wangu ni kuwa hali ya afya yake itaruhusu wajajnja watawale kwa niaba yake na hilo si jambo zuri kwa mustakabali wa Taifa letu!! Kumbukeni tu kuwa wakati ule Mkapa alipougua na kwenda kutibiwa Ulaya ndio wakati wajanja walipogundua mbinu za kuliibia Taifa rasilimali nyingi sana!!Mzima kama CHUMA ila sema tu Swaumu ya mara kwa mara huwa inamsumbua.........
Hebu tuzungumzie japo kidogo tu kuhusu hali ya raisi wetu.
Mwaka 2005 alianguka pale jangani tukapewa sababu hizi na zile.
Ameenda Mwanza CCM Kirumba ameanguka tena jukwaani, sababu hazikosekani.
Mwaka huu wa uchaguzi tena ameanguka palepale jangwani hawachoki kutudanganya. Niliwahi kusoma gazetini kuwa alishawahi kuanguka tena airport huko nje
Hivi kweli CCM na serikali yao wameshindwa hata kuangalia afya ya rais wa tanzania? Hawa madaktari wake wanafanya kazi gani? Au tunamlaumu dereva wakati gari ni bovu? Kila mmoja anapaswa awajibike kwa nafasi yake.
Hebu nisaidieni maoni jamani....
mzima kama chuma ila sema tu swaumu ya mara kwa mara huwa inamsumbua.........