Mh January Makamba ndani ya sakata la Ruge na Jide

bonvize

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2010
Posts
330
Reaction score
241
Majibizano kati ya Ruge na Lady Jay Dee yamechukua sura mpya bada ya Makamba jr kujitosa katika mjadala huo.
'Kama Taifa tunayo matatizo makubwa zaidi ya kujadil na kutafuta ufumbuzi zaidi ya kutumia muda mwingi kujadili ni nyimbo za nani zinapigwa kwenye radio stesheni hii au ile na za nani hazipigwi'

Source: Facebook page ya J. Makamba
 
Hata J.Makamba anajuana na Ruge muda tu au umesahau kuwa naye ni muhusika katka uharamia wa Ruge.
 
Nikitoa maoni hapa nitaonekana nina maslahi kwa mmoja wa wahusika wa saga hii,ni bora kukaa kimya nione mwisho wake.
 
Hata wakipatana Jide ajue kabisa ule WOSIA aliotuachia sisi tutautekeleza tu. Kama wakili Mawalla alizikwa Nairobi bila baba yake kuhudhuria ndio iwe suala dogo la KUMPIGA MAWE Ruge Makaburini. Take my word Jide, tutatimiza huu wasio uliotuachia kama Mungu atakuchukua mapema kwa majaaliwa yake.

All in All haya malalamiko ya nyimbo kupigwa au kutopiga ni ishara ya uchafu na subjectivity iliyopo kwenye sekta ya muziki ambavyo kama jamii wakati umefika tumulike na kuwachukulia hatua maharamia kama Ruge. Uganda na Kenya wanamuziki ni mabilionea, Tanzania wanamuziki ni walalahoi. Kulikoni???
 
Ni lazima J.Makamba ajitose kuzima huu mjadala kwa kuwa Sugu alishamtuhumu kuhusika katika kuhamisha MALARIA NO MORE kwenda kwa kina Ruge and Co wakati yupo ikulu, anajua madhambi yote ya Ruge.
 
Majibizano kati ya Ruge na Lady Jay Dee yamechukua sura mpya bada ya Makamba jr kujitosa katika mjadala huo.
'Kama Taifa tunayo matatizo makubwa zaidi ya kujadil na kutafuta ufumbuzi zaidi ya kutumia muda mwingi kujadili ni nyimbo za nani zinapigwa kwenye radio stesheni hii au ile na za nani hazipigwi'

Source: Facebook page ya J. Makamba

Too low kwa makamba
 
Hata wakipatana Jide ajue kabisa ule WOSIA aliotuachia sisi tutautekeleza tu. Kama wakili Mawalla alizikwa Nairobi bila baba yake kuhudhuria ndio iwe suala dogo la KUMPIGA MAWE Ruge Makaburini. Take my word Jide, tutatimiza huu wasio uliotuachia kama Mungu atakuchukua mapema kwa majaaliwa yake.

All in All haya malalamiko ya nyimbo kupigwa au kutopiga ni ishara ya uchafu na subjectivity iliyopo kwenye sekta ya muziki ambavyo kama jamii wakati umefika tumulike na kuwachukulia hatua maharamia kama Ruge. Uganda na Kenya wanamuziki ni mabilionea, Tanzania wanamuziki ni walalahoi. Kulikoni???

Wakipatana ata amend wosia...!
 
Jide hajui wazee wa fitna za mujini wanaweza hata kumbadilisha huyo Gadna ambae alimuacha mke wake wa ndoa....akaenda kwa Jide!hajui kuwa hao hao wanaweza kumbadilisha Gadna akamuacha huyo bi kizee Jide akajikuta anakuwa 'mjane'ghafla?pia wanaweza wakampiga fitna hiyo radio yake kwanza isitokee au ikitokea isipate matangazo miezi yake 6 tu ataifunga na kuuza vyombo?angetulia afanye mambo yake kimya kimya!
 
Mimi nimemsikiliza Ruge leo na alikuwa very convincing.

Lady Jay D is just butt-hurt, disgruntled, and at the twilight of her career.

Like Ruge said, she should have been better prepared for this than what is seemingly is right now.
 
Majibizano kati ya Ruge na Lady Jay Dee yamechukua sura mpya bada ya Makamba jr kujitosa katika mjadala huo.
'Kama Taifa tunayo matatizo makubwa zaidi ya kujadil na kutafuta ufumbuzi zaidi ya kutumia muda mwingi kujadili ni nyimbo za nani zinapigwa kwenye radio stesheni hii au ile na za nani hazipigwi'

Source: Facebook page ya J. Makamba

Kama taifa tuna tatizo la ku minimize mambo kama anavyo minimize Makamba hapa. The devil is in the details, Makamba wants to shut down the discussion even before we get to examine the details.

Kama hili si la muhimu kwa Makamba si angeacha tu kulizungumzia? Hivi, alilazimishwa kuchangia? Hivi jambo kuwa la muhimu ni lazima liwe la muhimu kwa watu wote? What's with this collectivization?

Nimeona Reginald Mengi naye anasema tuna matatizo makubwa kuliko kujadili nani achinje wanyama, ana minimize suala kubwa kama la control kwa kuangalia facet yake moja tu ya kuchinja.

Suala la Jaydee linahusisha umuhimu wa uwazi katika jamii yetu, mikataba ya kibiashara, habari ya fairness, haja ya kuwa na huduma kama za Soundscan etc. Wasanii wachanga pamoja na wafanyabiashara wa muziki wanaochipukia kama wana utashi wa kutosha wanaweza kujifunza mengi kutokana na mgogoro huu.

Kusema halina umuhimu ni ubinafsi, ni udikteta, ni kutotaka uwazi. Kwa sababu wewe Makamba ni nani useme hiki kina umuhimu na hiki hakina umuhimu?

Kwa wasanii ambao wanaishi kwa kutegemea sanaa hizi na wafanyabiashara wenye redio maswali haya ni ya muhimu sana. regardless on whether you are on team JayDee or Ruge.

It's the height of insensitive patronization on the part of Makamba to appoint himself the compass of priorities.
 
Jide hajui wazee wa fitna za mujini wanaweza hata kumbadilisha huyo Gadna ambae alimuacha mke wake wa ndoa....akaenda kwa Jide!hajui kuwa hao hao wanaweza kumbadilisha Gadna akamuacha huyo bi kizee Jide akajikuta anakuwa 'mjane'ghafla?pia wanaweza wakampiga fitna hiyo radio yake kwanza isitokee au ikitokea isipate matangazo miezi yake 6 tu ataifunga na kuuza vyombo?angetulia afanye mambo yake kimya kimya!

Uoga ni dhambi mbaya kuliko zote - Prophet Lema .
 
Jide hajui wazee wa fitna za mujini wanaweza hata kumbadilisha huyo Gadna ambae alimuacha mke wake wa ndoa....akaenda kwa Jide!hajui kuwa hao hao wanaweza kumbadilisha Gadna akamuacha huyo bi kizee Jide akajikuta anakuwa 'mjane'ghafla?pia wanaweza wakampiga fitna hiyo radio yake kwanza isitokee au ikitokea isipate matangazo miezi yake 6 tu ataifunga na kuuza vyombo?angetulia afanye mambo yake kimya kimya!

Asifanye anachotaka kwa kuogopa ubeberu wa watu fulani tu?

Granted, both sides are not beyond reproach. Jide probably rode the same horse she is shaming now, to get where she is, Clouds has a reputation for exploitation that goes back for more than a decade. So it's more like what Professor Jay calls "aliyeuza dhahabu bandia kapewa hela bandia". I have no sympathy for either.

But I have always been a proponent of freedom, the above picture you painted is dictating action on fear rather than courage.

Part of the reason we are not developing.

However fault ridden Jide turns out to be, she at least should be able to start her own thing. Anything less than that is a form of modern day slavery, which I cannot support.

If she is a dumb ballyhooing balloon of hot air, let her fail because she is a dumb ballyhooing balloon of hot air.

Do not instill fear and execute conspiratorial plots to undermine her.

You will only raise her stature to a martyr she is not.
 
Ruge amechafuka wala hawezi kujisafisha , amejitengenezea Maadui wengi sana kutoka na tabia yake ya Dhuluma , Ubaya wa issue kama hii inapokutokea wala hata hujui kama tayari umechafuka ! Bali kuna muda kidogo sana wa Ruge Mutahaba kudharauliwa na Kila mtu , hii system inayomlinda ikishaporomoka tu , kwisha kazi .
 
Nae makamba katokea wapi tena aandae bajeti ya magamba huko
 
Ruge amechafuka wala hawezi kujisafisha , amejitengenezea Maadui wengi sana kutoka na tabia yake ya Dhuluma , Ubaya wa issue kama hii inapokutokea wala hata hujui kama tayari umechafuka ! Bali kuna muda kidogo sana wa Ruge Mutahaba kudharauliwa na Kila mtu , hii system inayomlinda ikishaporomoka tu , kwisha kazi .

Hivi hiyo dhuluma mnayozungumzia ni dhuluma gani hasa? Ni akina nani hao waliodhulumiwa? Na kama kweli wamedhulumiwa kwa nini wasimshtaki huyo Ruge? Au hata hao majaji wa mahakamani nao wanamsikiliza Ruge?

Kama ni hivyo basi huyo Ruge ni kiboko aisee.
 
huyu dogo anataka kujifanya yeye ndo denominator wa mitazamo ya watanzania? hatuna jambo la msingi la kujadili zaidi ya kuiondoa CCM kwenye usukani wa hii nchi. unajua clouds OLIGARCHY kwa kutumia ikulu ilivyo hijack music industry? unajua muziki ni kazi? ni familia ngapi zinateseska kwa sababu ya dhuluma ya clouds fm? kikwete kwa kuendelea kuchagua mawaziri kwa style ya huyu ni mwenzetu aliamua kumpa garasa kama huyu uwaziri.
 
Nikitoa maoni hapa nitaonekana nina maslahi kwa mmoja wa wahusika wa saga hii,ni bora kukaa kimya nione mwisho wake.

bora mie zaidi nilie kaa kimya bila kusema wala kuandika chochote.
 
Back
Top Bottom