Mh January Makamba ndani ya sakata la Ruge na Jide

Mh January Makamba ndani ya sakata la Ruge na Jide

clouds media ni mali ya ccm kwa mgongo wa ruge. ndo maana ccm wanaingilia. alianza nchimbi na sasa ni ruge. kikwete aliwapa clouds media studio aliyo waahidi wasanii na watanzania. wakina ngwea na tmk wakatoka kapa pamoja na kuimba kote nyimbo za kumsifu jakaya kikwete. Kikwete anajua THT ni mradi wa taifa wa kusaidia watoto yatima na watoto wa mtaani kukuza vipaji vyao hadi wakapewa jengo kumbe ni mradi wa ruge. ili kumfumba kikwete kila mwaka wanamwandalia rais birthday na kurushwa live mc kibonde. mia
 
duuuh una2acha mkuu,una2mia english ya kwny dictionary

Inawezekana nyie ndo mnaiacha dunia ya Kiingereza cha kawaida kabisa.

Hivi kwa kuogopa Kiingereza mbuzi hiki, kesho wakija wawekezaji wanataka kudeal na watu wa kimataifa, wakiwanyima kazi/ deal na kuwapa majirani zetu, kwa sababu sisi Kiingereza cha kawaida tu tunaona kituo cha polisi, tutalalamika kweli kwamba tunaonewa?

Kama tatizo unaona Kiingereza hiki cha ajabu, nakupa challenge kujifunza mkuu.

Mimi siandiki kiingereza kigumu sana, wewe ndo unataka ni dumb down kiingereza changu extremely.
 
Back
Top Bottom