halow wana jf,
punde nilikuwa naangalia original comedy, nikaona masanja akimtembelea mh. J.makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la nssf water front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la bumbuli.
I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni bumbuli!
Mm ni nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa cdm, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.
Big up hon j. Makamba.
Halow Wana JF,
Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.
I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!
Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.
Big up Hon J. Makamba.
Wananchi wa bumbuli wanaweza kuwasiliana na mbunge wao muda wowote kwa kutuma ujumbe mfupi wa simu ya mkononi bure na mbunge hujibu au kuwasiliana na mamlaka husika mara moja kwa ajili ya utatuzi. Kawaulize wana bumbuli wakwambie namna walivyonufaika na huu ubunifu sio unakoment mambo ya bumbuli ukiwa Honolulu.
Mkuu ulianza vizuri ila umemaliza vibaya, lengo lako lilikuwa ni kujaribu kubeza wabunge fulani ukiwalinganisha na January. Kikubwa waangalie wengine, kabla na baada ya kupata ubunge na pia mwangalie January kabla na baada ya kupata ubunge halafu walinganishe.
Ahsanta
Hana jipya ni fisadi kama mafsadi wengine wa ccm.
Bangöö, mm sio wakala wa mafisadi, ninapenda mageuzi ya kifikra na kimfumo ambayo mwisho wa siku utatuletea maendeleo.
Kijana wangu Mh Silinde kutokuwa na gari wala m 1 sio ishu hapa, kufanya kazi ikulu sijui baba yake alikuwa nani sio hoja pia. Hoja ni kuwa ameweza kuwa na strategic ofc in a strategic place kutarp in resources kwa ajili ya maendeleo jimboni kwake. Hapa mjin kuna facility mtu anazohitaji at modest level kuweza kufanya anacho taka.
Hata mkinipiga mawe lakn naona kuwa tu na hi vision ni hatua ya muhimu sana, lakn ukweli utabaki ofs hi imezalisha nin kwa ajili ya watu wa Jimbo la Bumbuli. Hi ndo hoja ambayo tunapaswa kutembea nayo, lakn ameanza vizuri na ninamsuport. Kuna wengne wanasema angeanzisha ofs kule Bumbuli, hili sina data kama kule hakun ofs, lakn fikiria awe na ofs kubwa kule Bumbuli, kuna dev partner wana tight schedules utawakalisha wapi kwa muda mfupi kuwaonyesha mambo ya kwenu ili wakupe suport bila kuwaharibia ratiba zao.Mh Makamba hi mm nakuunga mkono.
Changamoto: ofs kama ile imeshazalisha nn? Hili ndo swali tunalopaswa kuhoji mwisho wa siku. Kama hakuna kitu fo 3yr basi amekula hasara na maono yake ameshindwa kuyatimiza ingawa alianza vizuri
kipi cha maana kilichokurusha roho pale? ni zile picha za maskini wa bumbuli zinazotumika kutafuta sympathy kwa wahisani wakati wa kuomba misaada na wingi wa vitabu kwenye shelfu?
au niile view ya bahari?
Miradi na misaada kupitia january makamba ni deal binafsi hasa baada ya kufanya lile alilofanya juu ya fedha za msaada kutoka kwa yule dada wa familia ya ROCA FELA.
Since huyu jamaa kaonyesha unafiki kwenye swala la kuwawajibisha mawaziri naamini ni ni mchumia tumbo na ni kijana asiye na kifra huru milele hata kama angekuwa na ofisi mawinguni.
mleta mada usiwe mwepesi kudanganywa.........ile ofisi ni ya kawaida sana..
Ni wazi wengi waliochangia hii mada ni CDM damu halafu wafupi wa uelewa, mleta mada kaweka wazi nami nakubaliana nae kwamba alivyofanya JM ni kitu kizuri bila kuleta ushabiki wa chama yaani;
1. Kuanzisha ofisi ya maendeleo ya jimbo, ni wabunge wangapi wamefanya hivyo aidha wa CCM au CDM?
2. Kuanzisha free no ili wananchi wake waweze kumtumia kero zao bure kwa kutumia SMS wangapi wanayo hiyo?
3. Wabunge wangapi CDM au CCM wametumia hela zao za mikopo ya magari kuanzisha kitu ambacho wanatarajio kitongeza chachu ya maendeleo jimboni mwao?
Ni vema kama kina sie ambao hatujafungana upande wowote tunaangalia mambo kwa mapana zaidi kuliko kuwa kipofu wa kila kitu cha CCM au CDM hakifai sababu tu kimeanzishwa na mpinzani wako, kweli umaskini wa fikra mbaya sana.
Suala sasa kama ile ofisi ina tija ndio hoja, lakini wazo ni zuri nami pia lanipongeza ingawa hiyo shoo sikuiona.
Halow Wana JF,
Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.
I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!
Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.
Big up Hon J. Makamba.