Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

Kuwa mfuasi wa CDM nako ni mzigo yaani kuna wakati unalazimika kutounga mkono au kupongeza jambo eti kisa limefanywa na mtu ambaye ni kiongozi wa CCM ili hali ni jambo jema, honestly mimi pia nimekua inspired sana na January Makamba and big up to him.

Tofauti za kiitikadi wekeni pembeni, wapo wabunge wa CDM na CCM hiki ni kipindi cha pili hawana ofisi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wao.
Umenena sawa hilo ndiyo tatizo la wanaChadema kila kitu cha CCM wao ni kupinga tu hatakama ni kizuri! Uzalendo ndiyo unaotakiwa tuache kulalama kusiko na msingi.
 
Kugawa simu,haiwezi kuwa mojawapo ya kazi za Mbunge.
Mbunge anatarajiwa kuibana serikali ndani na nje ya bunge iweke mazingira mazuri kwa wananchi ili hatimaye wao wenyewe kwa nguvu zao waweze kujitafutia vipato na wapate uwezo wa kununua mahitaji yao ikiwemo hivyo vifaa vya mawasiliano.
Nje na hapo ni jaribio la kupumbaza wananchi.
 
Mkuu mikopo ya magari inatolewa kwa wabungu wote hata viti maalum. Lkn kwa upeo wa January yeye kamua kufungu ofisi nzuri kupita kiasi. January unastahili pongezi, nimetamani sana shelves za vitabu. Dogo January uko tofauti na kwa mwendo huo utazidi kupaa tu. Big up sana January.
Nilimsikia akisema alitumia hela ya mkopo kufungua ile ofc coz gari alikuwa nalo. Je anatumia gari gani sasa? Je ni wabunge wangapi walikuwa na magari before? 2sikurupuke sifia 2 2jiulize background yake kwanza. 2 have an office at waterfront c jambo rahs kwa mtanzania mfanyabiashara wa kawaida pale ni unalipia dola nyingi 2 per sqrmt.
 
Sawa mi sikukubalina na jmakambaa kwenye issue ya waziri mkuu bungeni but kwa hili la jmakamba mi namuunga mkono tena kwa 100% kwani kijana anaonesha nia ya dhati kwa wananchi wake, Jamani si kila jambo tunapaswa kupinga bali yapo mambo ya kusifiwa kama hili alilolifanya jmakamba.
Big kaka jmakamba na mungu akupe maisha marefu na nia ya dhati ya kweli ktk kuwatumikia wanabumbuli na muda (2015) itakapofika uturudishie jimbo letu CDM kwa amani.

....Ndugu zangu, msikubali kutumiwa na mafisadi. mimi ni ndugu yako wa Bumbuli Salem. Hebu nitajie katika miaka miwili na ushee hii mbunge wetu JMakamba ameishafanya nini pale Bumbuli na ameishakuja mara ngapi kuongea na wananchi.

 
Halow Wana JF,

Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.

I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!

Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.

Big up Hon J. Makamba.

Yaani mbunge wa bumbuli ana ofisi ya maendeleo ya wana bumbuli dar kwa nini isiwe bumbuli akafanya kazi na wana bumbuli kama kilimo na shughuli nyingine anakuja dar kufungua ofisi ya kutafuta/kuomba misaada. Huu ni utumwa wa maendeleo wa kuomba misaada.
Nadhani tunatakiwa kubadilika kwenye mambo mengi kwanza kufikiri maendeleo lazima misaada kwangu mimi hilo ni kosa.
Pili hata kama tunalazimika kuomba basi hata mfadhili atashangaa unamwomba msaada wa bumbuli halafu ofisi iko dar.
Tatu, Nadhani anahitaji smart office sio expensive office kwa ajili ya wana bumbuli
M4C naomba itubadili kimawazo kwani maendeleo tunaweza kuleta wenyewe sio misaada.

Nawakilisha
 
Tunaomba kwa mungu na kwa imani zote, huyu bwana asije akaharibika tu, hili ni jembe kabisa, tungepata viongozi wengine 50 kama yeye, hii Tanzania ingekua inakua kwa kasi ya ajabu kama Rwanda...
 
Siyo kila kitu kinafaa kuigwa: JK(CCM) kuwa campaign manager wa Shibuda (CHDM). Hii nayo ikoje?.
 
wapendwa,

why don't we learn kupongeza "the end" instead of "the beginning"??

kupata ofisi ni mwanzo wa harakati na sio mwisho na kwa kweli, hadi hatua ya "kupata ofisi" hakuna maendeleo yoyote yaliyokwishapatikana kwa watu wake huko bumbuli! huo ndio ukweli. mimi binafsi hadi hatua aliyofika, sioni cha kupongeza wala kuiga!

mbarikiwe sana

Glory to God!!
 
Halow Wana JF,

Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.

I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!

Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.

Big up Hon J. Makamba.
This Big up is pre mature ile li ofisi tu tena mbali kabisa na Jimbo na wala sio maendeleo ya Jimbo ni PR Presentation, Tungefurahi kama ingekuwa ni Hospital ya Jimbo. Imagine kama kila Mbenge awe na ofisi Dar ni wezi mtupu
 
January makamba aje atuambie kwa nini ameweka ofisi ya jimbo lake Dar?
 
Ndo kawaida ya wabunge wa ccm wanakwenda kuchukua kura kwa wajinga, wanakwenda kukaa dar.. Jana mh. Mkosamali alisema bungeni kuwa kama watanzania wataichagua tena ccm oct 2015 basi inabidi atafutwe consultant kutoka nje aje awapime watz kama akili zao zipo sawasawa. Hahaha
 
Back
Top Bottom