Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiresua, May 10, 2012.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Halow Wana JF,

  Punde nilikuwa naangalia Original Comedy, nikaona Masanja akimtembelea Mh. J.Makamba kwenye ofisi yake iliyo jengo la NSSF Water Front. He has an excellent office there. Ni ofisi ya maendeleo ya watu wa jimbo la Bumbuli.

  I was so amazed kusikia alipopata ule mkopo wa gari alitafuta ofisi akaajiri vijana kwa ajili ya kutafuta fedha za maendeleo jimboni Bumbuli!

  Mm ni Nimemkubali huyu jamaa, wachumia tumbo mjifunze hapa. Wabunge wangu wa CDM, tujifunze hapa tuige yalio mazuri.

  Big up Hon J. Makamba.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimeiona hiyo kwenye twitter yake, duh!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tehe tehe tehe teee ....!!!!!! Nafikiria kukufanya wewe uwe National PR Manager wa CCM badala ya Nape.
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hana jipya ni fisadi kama mafsadi wengine wa ccm.
   
 5. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Duh jamaa anajitahidi sana hata me nimeona nimeipenda staili yake big up bro....
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kweli wewe ndio unashangaa mambo kiini macho kama yale? Muulize tangu kafungu ile ofisi kapata shilingi ngapi kwa ajili ya watu wake?
   
 7. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Miaka miwili sasa imeshafanya maendelo gani bumburi??
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeye ana Jina, Unajuaje wabunge wa Upinzani wanafanyaje kupendwa? Haujui anapataje hiyo Mikopo itakuwa kama aliyekuwa waziri wa utalii kwa kiupendeleo.

  Tanzania ya sasa ni jina la mtu na sio uhakiki wa kazi; nenda wewe usio na jina na project yako muhimu kusaidia masikini utapigwa chini na benki, weka jina la baba yako from CCM big wigs utapata na zaidi
   
 9. g

  georgendenga Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siisifii hata kidogo hiyo ofisi! Kwani hapa mjini zipo nyingi tu.

  Gharama ya kukodi ofisi hiyo kwa mwaka, inatosha kujenga ofisi nzuri hukohuko Bumbuli. Ofisi hiyo ingependezesha kijijini kwake na watu wangemfikia kiurahisi.

  Je, asipopata ubunge hiyo ofisi itakuwaje? Hawa jamaa wametudanganya vya kutosha sana.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Bumbuli ipo dar es salaam? angetakiwa hiyo ofisi iwe jimboni Bumbuli naajiri na vijana wa hapo Bumbuli kwenye hiyo ofisi. Awe makini tumemuazima Hilo jimbo mpaka 2015 tuu CDM tunalichukua
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Acha kutetea mafisadi wewe huyu jamaa kabla yakuwa mbunge alikuwa anafanya kazi ikulu, tayari alishakuwa na pesa pamoja na za Baba yake walizoiba wakiwa serikalini, ndo maana akasema hakununua gari kwasababu alikuwa nagari la kifisadi, sasa angenunua tena la nini?. Sasa wewe uanataka umfananishe na mbunge kama silinde ambae alitoka udsm na alikuwa hana hata ml 1?

  Acha kutetea mafisadi kwani hujui baba yake alikuwa nani?. Hatutaki unafki.
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mleta mada usiwe mwepesi kudanganywa.........ile ofisi ni ya kawaida sana..
   
 13. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuwa mfuasi wa CDM nako ni mzigo yaani kuna wakati unalazimika kutounga mkono au kupongeza jambo eti kisa limefanywa na mtu ambaye ni kiongozi wa CCM ili hali ni jambo jema, honestly mimi pia nimekua inspired sana na January Makamba and big up to him.

  Tofauti za kiitikadi wekeni pembeni, wapo wabunge wa CDM na CCM hiki ni kipindi cha pili hawana ofisi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wao.
   
 14. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tafakari kwanza ndg yangu,hivi kwa hali ya kawaida mwanambumbuli wa kijijini anaweza kufika kwenye ile office wakati hata kula kwake ni shida?akitumia tu lift si atasau hata kilichomleta?kwa ujumla J.M kajitenga na wananchi wake.
   
 15. sallu

  sallu New Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah jamaa ni nomah big up bro hope ur differ from those fisadi in yo cck
   
 16. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Bangöö, mm sio wakala wa mafisadi, ninapenda mageuzi ya kifikra na kimfumo ambayo mwisho wa siku utatuletea maendeleo.

  Kijana wangu Mh Silinde kutokuwa na gari wala m 1 sio ishu hapa, kufanya kazi ikulu sijui baba yake alikuwa nani sio hoja pia. Hoja ni kuwa ameweza kuwa na strategic ofc in a strategic place kutarp in resources kwa ajili ya maendeleo jimboni kwake. Hapa mjin kuna facility mtu anazohitaji at modest level kuweza kufanya anacho taka.

  Hata mkinipiga mawe lakn naona kuwa tu na hi vision ni hatua ya muhimu sana, lakn ukweli utabaki ofs hi imezalisha nin kwa ajili ya watu wa Jimbo la Bumbuli. Hi ndo hoja ambayo tunapaswa kutembea nayo, lakn ameanza vizuri na ninamsuport. Kuna wengne wanasema angeanzisha ofs kule Bumbuli, hili sina data kama kule hakun ofs, lakn fikiria awe na ofs kubwa kule Bumbuli, kuna dev partner wana tight schedules utawakalisha wapi kwa muda mfupi kuwaonyesha mambo ya kwenu ili wakupe suport bila kuwaharibia ratiba zao.Mh Makamba hi mm nakuunga mkono.

  Changamoto: ofs kama ile imeshazalisha nn? Hili ndo swali tunalopaswa kuhoji mwisho wa siku. Kama hakuna kitu fo 3yr basi amekula hasara na maono yake ameshindwa kuyatimiza ingawa alianza vizuri
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  January ana popular ambition, ana tamaa mno ya publicity. Huyu jamaa nimemdharau toka wiki tatu zimepita bungeni pale.

  Nadhani mleta mada ni yeye huyo. KIONGOZI MZURI HAJISIFII KTK COMEDY.
   
 18. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  aha, umesema ni kiini macho, lkn umesema amepata sh ngapi ambalo ni swali la msingi, hi ni cöntradiction maana kama amepata hela fulani hoja yako ya mwanzo inakuwa redundant! Hivyo Sio kiini macho kwa sababu swali la pili huna jibu!
   
 19. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nadhani una hoja nzuri ingawa huna data ya monthly itennary yake na communication mechanism na watu wake ikoje. Kama kuna mwenye detail zaidi kutoka Bumbuli, kama anafika, mara ngapi, kama pia ana ofis kule aweke hapa tujadili.
  Lakn ndugu yangu h ofs sio ya kupokea kero za wananchi principaly, bali ni resource mobilization office. Ndo maana wachaga hawana maduka kwao, maduka yao yapo dar!
   
 20. b

  busar JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  The guy is vision.ary... Angefaa kuwa msemaji wa ccm and not nape
   
Loading...